← Changu Chako, Chako Changu
Historia yaandikwa DRC kwa kuendeshwa baiskeli, ustadi wa tafsiri ya lugha artwork

Historia yaandikwa DRC kwa kuendeshwa baiskeli, ustadi wa tafsiri ya lugha

Changu Chako, Chako Changu
20:17
Play episode

Show notes

Makala hii imeangazia mwanariadha na mwendesha baiskeli mashuhuri Miguel Masaisai alivyoandikisha historia kwa kusafiri na baiskeli yake kwa muda wa miezi mitatu kutoka Goma hadi mjini Kinshasa, zaidi ya kilomita 2500 kupeleka ujumbe wa amani, na pia ustadi wa tafsiri ya lugha mbali mbali, katika mikutano ya kimataifa inayofanyika sehemu kadhaa duniani

More from this show

More
Now Playing
Historia yaandikwa DRC kwa kuendeshwa baiskeli, ustadi wa tafsiri ya lugha — Changu Chako, Chako Changu | Podcast | Josplay Music