← Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako Chako Changu: picha ya jiji la Kisumu mbali na maandamano oct 4 2026 artwork

Changu Chako Chako Changu: picha ya jiji la Kisumu mbali na maandamano oct 4 2026

Changu Chako, Chako Changu
20:09
Play episode

Show notes

Katika makala yetu Jumapili hii tunazungumzia kuhusu picha ya mji wa Kisumu tofauti na inavyozoeleka. Alliance Francaise ya Kisumu imeanda mradi unaoulezea mji wa Kisumu kwa aina tofauti. Kila linapotajwa jila la kisumu moja kwa moja unaona maandamano, vurugu, uvuvi, wakati jiji hilo ni mbali kabisa na hayo.

More from this show

More
Now Playing
Changu Chako Chako Changu: picha ya jiji la Kisumu mbali na maandamano oct 4 2026 — Changu Chako, Chako Changu | Podcast | Josplay Music