← Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako: Historia ya watu wa kabila la Wahehe sept 6 2026 artwork

Changu Chako: Historia ya watu wa kabila la Wahehe sept 6 2026

Changu Chako, Chako Changu
20:00
Play episode

Show notes

Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili Changu Chako Chako Changu. Makala haya hukuletea Historia na tamaduni ya makabila mbalimbali, le Parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletza Historia ya watu wa kabila la Wahehe, kutoka chini Tanzania na kwenye Muziki nitakuletea msanii kutoka nchini Uganda Made Ice, Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu.

More from this show

More
Now Playing