More from this show

More
  1. Alliance Francaise ya Kisumu, historia yake na mpango wake wa kukuza sanaa.

    Katika Makala haya, mtangazaji wako Ali Bilali aliezuru Kisumu, amekutana na kufanya mazungumzo na mkurugenzi wa kituo cha utamaduni wa Ufaransa Joshua Kome kuzungumzia historia ya…

    20:01
  2. Changu Chako Chako Changu: picha ya jiji la Kisumu mbali na maandamano oct 4 2026

    Katika makala yetu Jumapili hii tunazungumzia kuhusu picha ya mji wa Kisumu tofauti na inavyozoeleka. Alliance Francaise ya Kisumu imeanda mradi unaoulezea mji wa Kisumu kwa aina t…

    20:09
  3. Changu Chako: Historia ya ngoma ya utamaduni wa kiturkana Sept 20 20269

    Makala haya yanazungumzia kuhusu muziki wa tamaduni ya Kiturkana ambao ni kiungo muhimu sana katika maisha ya jamii ya Waturkana, inayopatikana kaskazini-magharibi mwa Kenya. Muzik…

    20:04
  4. Changu Chako: Historia ya watu wa kabila la Wahehe sept 6 2026

    Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili Changu Chako Chako Changu. Makala haya hukuletea Historia na tamaduni ya makabila mbalimbali, le Parler francophone na Muziki, ambapo leo…

    20:00
  5. Changu chako historia ya waswahili wa Burundi harakati za kumtambuwa mswahili sehemu ya 3 Agost 30

    Karibu katika makala changu chako chako chako changu Jumapili ya leo nakuletea sehemu ya 3 na ya mwisho ya historia ya waswahili wa Burundi, ambapo sehemu ya mwisho mgeni wetu atat…

    20:03
  6. Changu Chako: Historia ya waswahili wa Burundi katika harakati za Uhuru agost 23 2026

    Karibu katika Makala changu chako chako change, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuletea sehemu ya pili…

    19:56
Now Playing