← Changu Chako, Chako Changu
Historia ya vita vya Iran na Israeli huko mashariki ya kati artwork

Historia ya vita vya Iran na Israeli huko mashariki ya kati

Changu Chako, Chako Changu
20:13
Play episode

Show notes

Makala hii imejikita huko mashariki ya kati ambapo tumeangazia kwa undani historia ya nchi ya Iran, na katika utamaduni kabila la wabembe kutoka Fizi mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, na maeneo mengine ya nchi jirani, wakati katika kipengee cha muziki ni maadhimisho ya miaka kumi tangu alipotoweka mwanamuziki nguli, mfalme wa rumba almaarufu Papa Wemba huko Ivory Coast

More from this show

More
Now Playing
Historia ya vita vya Iran na Israeli huko mashariki ya kati — Changu Chako, Chako Changu | Podcast | Josplay Music