← Changu Chako, Chako Changu
Changu chako: Utamaduni wa watu kutoka Embu nchini Kenya artwork

Changu chako: Utamaduni wa watu kutoka Embu nchini Kenya

Changu Chako, Chako Changu
19:45
Play episode

Show notes

Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu jumapili hii, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parle francophone na Muziki ambapo leo nitakuletea utamaduni wa watu kutoka huko Embu kwenye maswala ya chakula, mazazi na uvhumba. Tutamaliza na vibwagizo kadhaa vya Muziki, mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu Kumbuka pia kutufuatilia @billy bilali

More from this show

More
Now Playing