← Changu Chako, Chako Changu
Changu chako: Tamaduni mbalimbali zilizopitwa na wakati juni 21 2026 artwork

Changu chako: Tamaduni mbalimbali zilizopitwa na wakati juni 21 2026

Changu Chako, Chako Changu
20:01
Play episode

Show notes

Karibu katika Makala changu Chako Chako Changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea Makala kuhusu tamaduni mbalimbali ambazo zimepitwa na wakati katika makabila mbalimbali, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Dully Sikes kutoka nchini Tanzania. Mimi ni Ali Bilali, Binevenue ama Karibu.

More from this show

More
Now Playing
Changu chako: Tamaduni mbalimbali zilizopitwa na wakati juni 21 2026 — Changu Chako, Chako Changu | Podcast | Josplay Music