← Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako: Historia ya waswahili wa Burundi katika harakati za Uhuru agost 23 2026 artwork

Changu Chako: Historia ya waswahili wa Burundi katika harakati za Uhuru agost 23 2026

Changu Chako, Chako Changu
19:56
Play episode

Show notes

Karibu katika Makala changu chako chako change, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya historia ya waswahili wa Burundi na kwenye muziki nitakuletea mwanamuziki Lady Jay D. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu. Nifuatilie @billybilali

More from this show

More
Now Playing
Changu Chako: Historia ya waswahili wa Burundi katika harakati za Uhuru agost 23 2026 — Changu Chako, Chako Changu | Podcast | Josplay Music