← Changu Chako, Chako Changu
Changu chako: Historia ya Uhuru wa Burundi juni 28 2026 artwork

Changu chako: Historia ya Uhuru wa Burundi juni 28 2026

Changu Chako, Chako Changu
20:01
Play episode

Show notes

Karibu katika makala changu chako chako changu Jumapili ya leo, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea historia ya uhuru wa Burundi na kwenye kipengele cha utamaduni nitakuletea tamasha la Umutwenzi lililoandaliwa na wasanii wa Burundi katika mkesha wa siku ya Uhuru wa Burundi na kwenye Muziki nitakuletea kibao cha wasanii wa Burundi walioshirikiana Pamoja. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue.

More from this show

More
Now Playing
Changu chako: Historia ya Uhuru wa Burundi juni 28 2026 — Changu Chako, Chako Changu | Podcast | Josplay Music