← Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako Chako Changu: Miaka 16 ya matangazo ya RFI Kiswahili Julay 5 2026 artwork

Changu Chako Chako Changu: Miaka 16 ya matangazo ya RFI Kiswahili Julay 5 2026

Changu Chako, Chako Changu
20:00
Play episode

Show notes

Karibu katika Makala yetu ya leo change chako chako changu maalum kabisa kuhusu kumbukumbu ya miaka 16 tangu kuzanzishwa kwa matangazo ya idhaa ya Kiswahili ya RFI yalianza kurindima Julay 5 mwaka 2025 Mubashara jijini Dar es salaam nchini Tanzania kabla ya kuhamia jijini Nairobi baadae. Utawasikiliza baadhi ya watangaezaji, lakini pia nitakuletea burudani ya Muziki kutoka nchini Kenya Otile Brown na kibao chake kipya kabisa NI wewe. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue. Insert………

More from this show

More
Now Playing
Changu Chako Chako Changu: Miaka 16 ya matangazo ya RFI Kiswahili Julay 5 2026 — Changu Chako, Chako Changu | Podcast | Josplay Music