← Changu Chako, Chako Changu
Changu chako chako changu: Historia ya waswahili wa Burundi Agost 16 artwork

Changu chako chako changu: Historia ya waswahili wa Burundi Agost 16

Changu Chako, Chako Changu
19:53
Play episode

Show notes

Karibu katika Makala haya yanayozungumzia historia ya waswahili wa Burundi. Mntangazaji wako Ali Bilali alikutana na mwanahistoria kutoka Buyenzi Mzee Anzuruni ambae anaeleza kwa kina hapa historia ya waswahili wa taifa hilo. Nifuatilie kwenye mtandao wa kijamii @billy bilali

More from this show

More
Now Playing
Changu chako chako changu: Historia ya waswahili wa Burundi Agost 16 — Changu Chako, Chako Changu | Podcast | Josplay Music