SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,031 episodesLatest about 18 hours agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 8

  1. Frank "Kombe hili halitabiriki lakini tuna matumaini makubwa kwa timu za Afrika"

    Mashabiki wa soka wana endelea kupata burudani kupitia Kombe la Dunia la FIFA 2026 linalo andaliwa nchini, Canada, Marekani na Mexico.

    11:08
  2. Yaliyojiri Afrika: Raia wakigeni waondolewa Afrika Kusini

    Afrika Kusini imewarejesha makwao raia wa kigeni 2,745, ndani ya wiki moja baada ya rais wa taifa hilo ku ahidi kuchukua hatua kali dhidi ya wahamiaji haramu.

    07:09
  3. Taarifa ya Habari: Seneti ya DRC yafungua njia ya muhula wa tatu kwa Rais Tshisekedi

    Polisi wanachunguza ajali iliyotokea kusini-magharibi mwa Sydney usiku wakuamkia, ambayo imesababisha vifo vya watoto wawili wenye umri wa mwaka moja na miaka mitano.

    05:57
  4. How should we talk to children about antisemitism? - SBS Examines:Tunastahili zungumzaje na watoto kuhusu chuki dhidi ya Wayahudi?

    Hearings for the Royal Commission on Antisemitism and Social Cohesion have revealed many victims and perpetrators of antisemitism in Australia are children. How do we discuss the i…

    13:36
  5. Taarifa ya Habari: Mabadiliko katika kodi ya faida ya mtaji yazua wasiwasi katika makundi ya biashara

    Mabadiliko katika kodi ya faida ya mtaji yatapunguza uzalishaji na kuifanya Australia isiwe na ushindani mkubwa, makundi ya biashara yanasema, huku hatua za bajeti zenye utata ziki…

    11:54
  6. Mshtuko wa Kombe la Dunia: Uhispania yapigwa breki na Cabo Verde

    Mshtuko wa kwanza mkubwa wa Kombe la Dunia la FIFA umeshuhudiwa, baada ya timu ambayo inadhaniwa ina nafasi kubwa yakushinda michuano hiyo, kunyimwa ushindi na Cabo Verde wanao shi…

    05:08
  7. How do charities and individual fundraisers work in Australia? - Australia Yafafanuliwa:Je, mashirika ya kutoa misaada na watu wanao changisha hela hufanyaje kazi nchini Australia?

    What are the rules around raising money and charities? How can you ensure you don't get scammed? Here is what you need to know if you're donating, raising money yourself or launchi…

    11:15
  8. Ujerumani wafanya unyama, Japan na Uholanzi ziki ng'ang'ania alama moja

    Ujerumani umeanza vyema kampeni yao ya Kombe la Dunia la 2026, ikiwashinda Curaçao inayo shiriki katika michuano hiyo kwa mara ya kwanza kwa mabao 7-1 katika Kundi E katika Uwanja…

    04:54
  9. Taarifa ya Habari: Iran yathibitisha vita dhidi ya Marekani na Israel vita isha leo usiku

    Iran imethibitisha kwamba vita kati ya Marekani na Israeli katika nyanja mbalimbali Mashariki ya Kati vita isha usiku wa leo.

    06:01
  10. Are electric vehicles worth it in Australia?| Fuel in Focus - Australia Yafafanuliwa:Je magari ya umeme yanafaa nchini Australia?| Mafuta Yalengwa

    Electric vehicles are becoming more common on Australian roads as fuel prices remain unstable and more drivers look for cheaper ways to travel. Here's what you need to know if you…

    07:47
  11. Taarifa ya Habari: HRW: Rwanda na M23 zinawaajiri watu kwa lazima kwenye vikosi vyao

    Waziri Mkuu Anthony Albanese haja tupilia mbali uwezekano wa kuongeza muda wa kupunguzwa kwa ushuru wa mafuta kutokana na kufufuliwa upya kwa mapigano Mashariki ya Kati.

    05:46
  12. MiniPod: Man On! | Words we use - MiniPod: Man On! | Words we use

    Learn a new phrase and make your English sound more natural and interesting. Words We Use is a bilingual series that helps you understand idioms like 'Man On!'. - Jifunze msemo mpy…

    03:31
  13. MiniPod: Keep your eye on the ball | Words we use - MiniPod: Keep your eye on the ball | Words we use

    Learn a new phrase and make your English sound more natural and interesting. Words We Use is a bilingual series that helps you understand idioms like 'Keep your eye on the ball'. -…

    03:13
  14. SBS Learn Eng Ep 112 Jinsi yaku zungumza kuhusu likizo za shule

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu likizo ya shule?

    13:40
  15. SBS Examine: CVE ni nini?

    Mnamo Mei, wanawake 11 na watoto 21 wali wasili nchini Australia kutoka Syria.

    07:36
  16. Taarifa ya Habari:Umaarufu wa chama cha One Nation, walazimisha vyama vya kisiasa nchini kubadili mitazamao yao

    Waziri Mkuu Anthony Albanese anasema serikali lazima zishughulikie mfadhaiko katika uchumi unaoongezeka, baada ya kura mpya ya maoni kuonyesha ongezeko la uungwaji mkono kwa chama…

    07:02
  17. Yaliyojiri Afrika: Swala lakubadilisha katiba lazua mpasuko katika makanisa DR Congo

    Kume kuwa mgwanyiko kati ya kambi yamakanisa katika Jamuhuri yakidemokrasia ya Kongo, kutakana na swala lakubadilisha katiba.

    07:02
  18. Australia Yafafanuliwa: Nini cha kutarajia unapomtembelea daktari wa mifugo

    Kama una mnyama kipenzi wa nyumbani, kumpeleka kwa daktari wa mifugo mara kwa mara ni muhimu kwa kuhakikisha mnyama wako ana afya njema na usalama.

    13:05
  19. Taarifa ya Habari:Australia yatoa heshima zake kwa hayati Richard Scolyer

    Wanafamilia na Waziri Mkuu Anthony Albanese wamemkumbuka Richard Scolyer, mshindi wa zamani wa tuzo yamu Australia bora wa mwaka.

    04:57
  20. Chiry "maelezo ya kifo cha Sheila, haya endani na msomo wa mwili wake"

    Wakenya wanao ishi mjini Sydney walifanya maandano, wakidai majibu kuhusu sababu ya kifo cha rafiki yao Sheila Chebii, aliye fariki akiwa kazini ndani ya jengo la Meriton.

    09:32
Now Playing