SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,031 episodesLatest about 17 hours agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 7

  1. DR Congo yawapa mamilioni fahari

    Mwaka huu DR Congo ilimaliza ukame wakuto shiriki katika Kombe la Dunia la FIFA baada ya zaidi ya miaka 50.

    13:47
  2. Taarifa ya Habari: Mamilioni ya Waustralia kuamka kesho Julai 1 kwa mishahara ya juu na kodi ya chini ya mapato

    Bei ya petroli imeshuka hadi viwango ambavyo havijaonekana tangu mwanzo wa 2022. Taasisi ya Petroli ya Australia inasema wastani wa kitaifa wa lita moja ya mafuta yasiyo na risasi…

    13:47
  3. Wajerumani na Waholanzi watupwa nje ya Kombe la Dunia 2026

    Siku ya 19 ya Kombe la Dunia la FIFA ilijumuisha mechi tatu za mchujo zenye ushindani mkali, huku Ujerumani na Uholanzi zikiondolewa baada ya mikwaju ya penati, wakati huo huo Braz…

    06:04
  4. Australia Yafafanuliwa: Jinsi yakujiunga na soka jumuishi nchini Australia

    Sio kutia chumvi tunaposikia kwamba Kombe la Dunia la FIFA lina tarajiwa kuleta dunia pamoja katika mwezi wa Juni. Baada ya yote, mpira wa miguu unajulikana kama mchezo maarufu zai…

    14:27
  5. Taarifa ya Habari: Mkuu wa jeshi azuia shughuli za Nation Media Group nchini Uganda

    Shirika kubwa zaidi huru la habari nchini Uganda Nation media group limearifu kuwa limewekwa chini ya ulinzi mkali wa kijeshi mapema Jumapili.

    04:20
  6. Baranga"nakaribisha wanaume wote katika kongamano maalum, tujadili maswala muhimu kwetu"

    Wanaume kutoka jumuiya za Afrika Mashariki wanao ishi jimboni New South Wales, wana jiandaa kwa kongamano maalum Jumamosi 27 Juni 2026.

    07:28
  7. Taarifa ya Habari:"Sheria tata za mageuzi ya kodi zitawafaidi watu wengi" asema Mweka Hazina wa Shirikisho

    Mweka Hazina wa Shirikisho Jim Chalmers anasema wafanyakazi, wanunuzi wa nyumba za kwanza na vizazi vijavyo watafaidika na sheria zenye utata za mageuzi ya kodi ambazo zimepitishwa…

    12:37
  8. Australia yatinga raundi ya 32 baada ya sare yakutofungana dhidi ya Paraguayi

    Socceroos wamefanikiwa kufika hatua ya mchujo baada ya kupata sare yakutofungana katika Kundi D, wakati Ecuador ikiwaacha wajerumani vinywa wazi katika Kundi E na kufuzu kushiriki…

    04:39
  9. Australia Yafafanuliwa:Bendera ya watu wa Visiwa vya Torres Strait:Ardhi,Bahari na Watu

    Nchini Australia, unaweza ona bendera tatu zikipeperushwa pamoja: Bendera ya Taifa ya Australia, Bendera ya Waaborijini na Bendera ya Watu wa visiwa vya Torres Strait.

    09:28
  10. Taarifa ya Habari:Maelfu wahofiwa wamefariki baada ya tetemeko kubwa la ardhi katika mji mkuu wa Venezuela

    Hali ya dharura ime anza kutumika nchini Venezuela baada ya matetemeko mawili makubwa ya ardhi, yaliyotokea magharibi mwa mji mkuu wa Caracas, na kuua watu wasiopungua 32 pamoja na…

    04:20
  11. Can nature help tackle loneliness? - SBS Examines: Je, mazingira ya asili yanaweza kabili upweke?

    In a recent study of LGBTQIA+ asylum seekers and refugees, nature was used not just as a meeting place, but as an environment where participants felt safe without being questioned…

    09:55
  12. Yaliyojiri Afrika:Kasi yakuenea kwa ugonjwa wa Ebola kwa lazimisha serikali ya Congo kutoa tahadhari

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imetahadharisha umma kuhusu kuenea kwa kasi kwa ugonjwa wa Ebola.

    06:07
  13. Messi aweka rekodi yamuda wote yakufunga magoli katika Kombe la Dunia

    Lionel Messi amekuwa mfungaji bora wa muda wote wa Kombe la Dunia, akifunga mara mbili nakusaidia Argentina kuishinda Austria 2-0 mjini Dallas, na kujihakikishia nafasi ya kwanza k…

    04:29
  14. Taarifa ya Habari:Mpango wa serikali wa kurekebisha NDIS waiweka pabaya bungeni

    Chama cha Greens kimeita mpango wa serikali wa kurekebisha Mpango wa Kitaifa wa Bima ya Watu Wenye Ulemavu kuwa sheria 'isiyo ya kibinadamu'.

    14:45
  15. SBS Learn Eng Ep 113 Jinsi yakuzungumza kuhusu chakula cha starehe wakati wa majira ya baridi

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu chakula cha starehe wakati wa majira ya baridi?

    09:16
  16. Makala Leo: Labor yapambana kupitisha bungeni mageuzi ya NDIS na ushuru

    Bunge la Shirikisho limerejea kwa vikao vya mwisho vya wiki mbili kabla ya mapumziko marefu ya majira ya baridi ya wiki tano.

    10:01
  17. Taarifa ya Habari:Wanaume wawili wafunguliwa mashtaka baada ya Polisi kunasa tani 2.7 za kokeni nchini Australia

    Polisi wamekamata tani 2.7 za kokeni katika kile kinachoelezwa kuwa unyakuaji mkubwa zaidi wa kokeni kuwahi kutokea nchini Australia.

    05:16
  18. Sasisho la Kombe la Dunia siku ya 8:Mexico yatinga hatua ya mchujo na Canada ya andika historia

    Mexico ime ingia katika hatua ya mchujo, baada ya kuishinda Jamhuri ya Korea katika siku ambayo iliadhimishwa na jeraha kubwa nchini Canada.

    05:22
  19. Mafanikio ya Socceroos ya akisi Australia ya kisasa

    Mafanikio ya awali ya Socceroos katika Kombe la Dunia, yameangazia tena hadithi za mafanikio za Australia yenye tamaduni nyingi.

    07:57
  20. Taarifa ya Habari: Marekani na Iran zasaini mkataba wa kumaliza vita

    Rais wa Marekani Donald Trump alisaini makubaliano na Iran jana Jumatano ambayo yanaitaka Jamhuri hiyo ya Kiislamu kupunguza kiwango cha akiba yake ya madini ya urani iliyorutubish…

    14:46
Now Playing