SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,031 episodesLatest about 19 hours agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 9

  1. Taarifa ya Habari: Upinzani wa mseto wapanga njama yakuzuia kupitishwa kwa sheria ya kodi ya serikali ndani ya Seneti

    Mabadiliko ya kodi ya serikali ya shirikisho yamepitishwa ndani ya nyumba la Wawakilishi - ila, upinzani wa mseto hauja tupilia mbali uwezekano wa muungano na chama cha Greens kuzu…

    13:22
  2. Yaliyojiri Afrika: Duale "serikali haita shauriana na raia kuhusu karantini ya Ebola"

    Rais wa Kenya, William Ruto, amesema serikali yake inafanya jambo sahihi kwa kuruhusu Marekani kujenga kituo cha karantini ya Ebola nchini humo.

    07:37
  3. Taarifa ya Habari:Mahakama ya Kenya yasimamisha kujengwa kituo cha karantini cha Ebola

    Mahakama Kuu ya Kenya Jumanne ilisimamisha kwa wiki tatu zaidi mpango wa kujenga kituo cha karantini ya Ebola, kilichopendekezwa na Marekani.

    05:26
  4. Most Australians see migration as a benefit. Is economic stress changing the story? - Waaustralia wengi huona uhamiaji kama faida. Je! msongo wa mawazo wa kiuchumi una geuza mtazamo?

    Migrants and refugees are often blamed for rising cost of living pressures. Is there a way to break the cycle? - Wahamiaji na wakimbizi mara nyingi hulaumiwa kwa ongezeko la shinik…

    07:49
  5. MiniPod: GOAT | Words we use - MiniPod: GOAT | Words we use

    Learn a new phrase and make your English sound more natural and interesting. Words We Use is a bilingual series that helps you understand idioms like 'GOAT'. - Jifunze msemo mpya n…

    03:49
  6. MiniPod: GOAT | Maneno tunayo tumia

    Jifunze msemo mpya na fanya Kiingereza chako kisikike cha asili na cha kuvutia zaidi. Words we Use ni makala ya lugha mbili, yatakayo kusaidia kuelewa nahau kama vile 'G.O.A.T' (Mc…

    03:49
  7. Faith"niliona nikama dunia ime isha na, nilihisi kwamba nimejipoteza pia mimi mwenyewe"

    Sheila Chebii alikuwa nchini Australia chini ya miezi mbili, alipo aga dunia katika mazingira yakutatanisha.

    13:15
  8. Taarifa ya Habari: Upinzani wa shirikisho wakosoa pendekezo la kumpa mweka hazina mamlaka ya kutoa punguzo la kodi ya faida ya mtaji

    Upinzani wa Mseto unakosoa muswada wa mageuzi ya kodi wa serikali ya Labour, kwa kumpa mweka hazina mamlaka ya kuamua ni mali gani zinaweza wekewa punguzo la kodi ya faida ya mtaji…

    13:41
  9. A guide to fuel types in Australia | Fuel in Focus - Australia Yafafanuliwa: Mwongozo kwa aina za petroli nchini Australia | Petroli Yalengwa

    Drivers across Australia are paying more at the bowser as fuel prices remain unstable. So does it make sense to go for cheaper petrol options when filling up? The answer depends la…

    08:22
  10. Makala leo: Popovic afanya maamuzi magumu akitangaza kikosi cha Kombe la Dunia cha Socceroos

    Leo asubui Mwalimu wa timu ya taifa ya Australia Tony Popovic ametangaza kikosi chake cha wachezaji 26, cha Socceroos watakao cheza katika Kombe la Dunia la FIFA la 2026.

    08:12
  11. Taarifa ya Habari: Wagonjwa wa Ebola waanza kupona DR Congo

    Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) lilisema kwenye taarifa yake ya Jumapili (Mei 31) kwamba, wagonjwa wengine zaidi wa Ebola wanatazamiwa kupona, hasa pale ugunduzi na matibabu yana…

    06:10
  12. Birori "Tunataka mauaji dhidi ya Wanyamulenge DR Congo yaishe mara moja "

    Wanachama wa jumuiya ya Wanyamulenge wanao ishi Australia, walijumuika mbele ya bunge la taifa mjini Canberra kuelezea kero zao.

    07:04
  13. Christine "baadhi ya wanawake wame acha kazi kwa sababu yakushindwa kuamuka"

    Baadhi ya wanawake wenye miaka 40 na zaidi, hujipata wana koma kupata hedhi. Hali hii huja na changamoto mbali mbali kwa wahusika.

    16:13
  14. Taarifa ya Habari:Chama cha Nationals chataka uchaguzi uitishwe kuhusu hatma ya mageuzi ya kodi ya serikali

    Chama cha Nationals kimemtaka Waziri Mkuu Anthony Albanese kuitisha uchaguzi mkuu, kuhusu mabadiliko hasi ya kodi ya vifaa na faida ya mtaji yaliyoainishwa katika bajeti ya shiriki…

    12:41
  15. Makala Leo:'Kwa ajili yetu, kupitia sisi': Ombi la wenyeji la kusema ukweli na uhusiano wakati wa Wiki ya Maridhiano

    Matukio yanayo ongozwa na jamii yanafanyika kote nchini kuadhimisha Wiki ya Kitaifa ya Maridhiano, ambayo ilianza Mei 27 na ita isha Juni 03.

    11:23
  16. Yaliyojiri Afrika: Wanafunzi 16 waangamia kwenye mkasa wa moto shuleni Kenya

    Wanafunzi 16 wamekufa katika mkasa wa moto, uliotokea katika mabweni ya shule moja ya wasichana katika Kaunti ya Nakuru nchini Kenya.

    06:26
  17. Taarifa ya Habari:Polisi wamfungulia mashtaka ya ugaidi, mwanamke aliyerudi Australia kutoka Syria

    Jeshi la Polisi la Shirikisho la Australia limemkamata mwanamke mmoja, kama sehemu ya uchunguzi unaoendelea chini ya Operesheni Kurrajong.

    05:24
  18. How does political grief affect social cohesion? - SBS Examines: Huzuni yakisiasa inawezaje athiri mshikamano wa kijamii?

    When we're exposed to events or ideologies that go against our own beliefs, we can feel what experts call 'political grief'. Some say it's playing a role in the growing polarisatio…

    12:16
  19. Australia Yafafanuliwa: Bendera yawa Aboriginal: Alama ya Utambulisho na Kuwa Sehemu ya Jamii

    Je, umewahi ona bendera ya rangi nyekundu, nyeusi na njano ikiwa pamoja na bendera ya Australia? Hii ni bendera yawa Aboriginal.

    08:42
  20. Yaliyojiri Afrika: Idadi ya watu wanaoshukiwa kuambukizwa Ebola nchini DRC yafika 900

    Shirika la Afya Duniani, WHO, limesema zaidi ya watu 900 wanashukiwa kuwa wameambukizwa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

    07:48
Now Playing