← SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari:"Sheria tata za mageuzi ya kodi zitawafaidi watu wengi" asema Mweka Hazina wa Shirikisho artwork

Taarifa ya Habari:"Sheria tata za mageuzi ya kodi zitawafaidi watu wengi" asema Mweka Hazina wa Shirikisho

SBS Swahili - SBS Swahili
12:37
Play episode

Show notes

Mweka Hazina wa Shirikisho Jim Chalmers anasema wafanyakazi, wanunuzi wa nyumba za kwanza na vizazi vijavyo watafaidika na sheria zenye utata za mageuzi ya kodi ambazo zimepitishwa hivi karibuni bungeni. Polisi warusha mabomu ya kutoa machozi dhidi ya waandamanaji katika maeneo mbalimbali mjini Nairobi huku makundi yanayoongozwa na vijana yakikumbuka miaka miwili tangu maandamano ya Gen Z. Watu kadhaa wametiwa nguvuni kufuatia maandamano hayo. Mawingu mazito ya moshi yalitanda angani huku umati wa watu ukikimbia kujinusuru, wengi wao wakifunika nyuso zao kutokana na harufu kali na madhara ya gesi hiyo. Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.

More from this show

More
  1. How laws are made, and how they affect you | How Australia Works - Jinsi sheria zinavyotungwa, na jinsi zinavyokuathiri | Jinsi Australia Inavyofanya kazi.

    How are laws made in Australia? Through Wurundjeri Elder Uncle Dave Wandin’s story of the Birrarung, also known as the Yarra River, learn how an idea becomes a bill, passes through…

    09:31
  2. Taarifa ya Habari:Zaidi ya wafanyakazi 460,000 wanatarajiwa kupata ongezeko la mishahara kwa ajili ya usawa wa kijinsia

    Zaidi ya wafanyakazi 460,000 wa afya, ulemavu na huduma za jamii wa Australia wanatarajiwa kuongezwa mishahara, wakati Serikali ya Shirikisho ikitangaza kifurushi cha ufadhili cha…

    15:36
  3. Makala Leo:Wajibu wa Huduma katika Nyanja ya Kidijitali: Greens wataka mamlaka ya kushtaki makampuni makubwa ya teknolojia

    Wakati Bunge likijiandaa kujadili Muswada uliopendekezwa wa Wajibu wa Huduma ya Kidijitali, chama cha Greens kinataka sheria hizo ziende mbali zaidi kwa kuruhusu Waaustralia kuzish…

    08:02
  4. Birth and pregnancy care options in Australia - Australia Yafafanuliwa:Chaguzi za huduma ya uzazi na ujauzito nchini Australia

    If you're first-time parents in Australia, choosing where and how to give birth can feel overwhelming. Whether you go through the public or private health system, it is important t…

    14:07
  5. Taarifa ya Habari:Australia yajiandaa kwa msimu hatari wa moto wa msituni unaosababishwa na "super El Niño"

    Australia inajiandaa kwa kile kinachotarajiwa kuwa msimu hatari wa moto wa msituni unaosababishwa na tukio linaloitwa "super El Niño" pamoja na mabadiliko ya hali ya hewa.

    14:31
  6. Breast screening: What to expect and why it matters - Australia Yafafanuliwa: Uchunguzi wa saratani ya matiti: Nini cha kutarajia na kwa nini ni muhimu

    Regular breast screening can help find breast cancer early, before you notice any signs or symptoms. Screening is free for eligible women or people at risk of breast cancer. It tak…

    14:21
Now Playing
Taarifa ya Habari:"Sheria tata za mageuzi ya kodi zitawafaidi watu wengi" asema Mweka Hazina wa Shirikisho — SBS Swahili - SBS Swahili | Podcast | Josplay Music