SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,031 episodesLatest about 13 hours agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 2

  1. Taarifa ya Habari:Wachumi wasema ripoti ya Serikali kuhusu Vizazi inaonyesha kuwa uchumi utazidi kutegemea ukuaji wa tija katika miongo ijayo

    Wanauchumi wanasema kuwa Ripoti ya hivi karibuni ya Serikali kuhusu Vizazi (Intergenerational Report) inaonyesha kuwa uchumi utazidi kutegemea ukuaji wa tija katika miongo ijayo.

    13:47
  2. Harrison "inabidi tupeleke tamasha hili katika zingine za kanda hili"

    Wanachama wa Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika ukumbi wa maarufu wa Opera House na Events Cinema Parramatta, kushiriki katika tamasha ya kila mwaka ya…

    12:19
  3. Taarifa ya Habari: Wito watolewa kutokomeza unyanyasaji wa nyumbani nchini Australia

    Ripoti mpya kati ya vizazi imetolewa leo, ikionyesha athari za bajeti ya serikali na mitazamo ya uchumi katika miongo minne ijayo. Naibu Kamishna wa Polisi wa New South Wales Pete…

    05:39
  4. Yaliyojiri Afrika: Human Rights Watch "Ukosefu wa uchunguzi wa kina na kufunguliwa mashtaka dhidi yawahusika kunaweza endeleza uhalifu nchini Kenya"

    Shirika lakutetea haki za binadam la Human Rights Watch lime onya kuwa, makundi ya watu wenye silaha yame endesha mifululizo yamashambulizi dhidi ya mikutano yakisiasa na shughuli…

    07:14
  5. Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho inatetea hatua yake kali ya uhamiaji inayo imarisha sheria kwa wanafunzi wakimataifa na watalii

    Serikali ya shirikisho inatetea hatua yake kali ya uhamiaji, ambayo inaimarisha sheria kwa wanafunzi wa kimataifa na watu ambao wako nchini kwa likizo, inalenga wanao baki nchini z…

    14:51
  6. SBS Learn Eng Ep 119 Jinsi yakuzungumza kuhusu mizio ya majani

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mizio ya majani?

    12:06
  7. Makala Leo:Ukandamizaji wa uhamiaji: Labor yaimarisha sheria za viza kwa wanafunzi na watalii

    Serikali imefichua mpango wake wa kupunguza uhamiaji halisi wa nje ya nchi hadi watu 225,000 ifikapo 2028, kulingana na utabiri kutoka bajeti ya Mei.

    13:47
  8. Taarifa ya Habari:Wanafunzi wakimataifa kukabiliwa kwa mkakati wa uhamiaji, wenye sheria kali

    Serikali ya shirikisho ime tangaza mabadiliko makubwa katika mfumo wa uhamiaji wa Australia, ikiimarisha sheria kuhusu ni nani anayeweza kuja nchini na ni nani anayeweza baki nchin…

    06:27
  9. Mh Dkt Kosgei afunguka kuhusu alipoanza kuamani kuwa ulemavu si kutoweza

    Mh Dkt Jackson Kosgei ni Askofu mstaafu, na kwa sasa ana hudumu kama mbunge aliyeteuliwa katika bunge la taifa nchini Kenya.

    18:42
  10. What are Indigenous Protected Areas in Australia? - Australia Yafafanuliwa:Maeneo Yaliyolindwa yawatu wa Asili nchini Australia ni yapi?

    National parks, nature reserves, marine sanctuaries and Indigenous Protected Areas protect different environments and operate under different rules. What makes an Indigenous Protec…

    10:55
  11. Taarifa ya Habari:Mageuzi ya sheria kuwasilishwa bungeni,kuweka mipaka ya kisheria kwa silaha za Australia na kuweka vikwazo kwa pesa za umma

    Kifurushi cha mageuzi ya sheria kitawasilishwa katika Bunge la Shirikisho leo, ili kuweka mipaka ya kisheria kwa silaha za Australia na kuweka vikwazo kwa pesa za umma, uwekezaji n…

    15:21
  12. Yaliyojiri Afrika:Kamati itakayo fanyia kazi mchakato wa maridhiano ya kisiasa Zanzibar yazinduliwa

    Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amezindua Kamati ya Pamoja ya Majadiliano kati ya vyama vya CCM na ACT-Wazalendo, uteuzi huo wa wajumbe 10 unaashiria hatua mpya katika mchakato wa…

    07:34
  13. Prostate cancer in Australia: Testing, treatment and support - Australia Yafafanuliwa:Saratani ya tezi dume nchini Australia: Upimaji, matibabu na usaidizi

    About one in five Australian men will be diagnosed with prostate cancer in their lifetime. Understanding the prostate, your risk and the options for testing can help with early det…

    12:58
  14. Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yaendelea kukabiliana na shinikizo lakutangaza msimamo wayo kwa viwango vya uhamiaji nchini

    Serikali ya shirikisho imekuwa chini ya shinikizo la kufafanua malengo yake kuhusu mipaka ya visa, Waziri wa Mambo ya Ndani Tony Burke akiahirisha hotuba ya Klabu ya Kitaifa ya Waa…

    14:00
  15. Makala Leo:Tunachojua kuhusu usalama wakimataifa miaka 25 baada ya tukio la 9/11

    Ni miaka 25 tangu karibu watu 3,000 waliuawa katika mashambulizi ya Septemba 11, ambayo yalisababisha Vita dhidi ya Ugaidi vilivyoongozwa na Marekani na kuiingiza Australia katika…

    12:34
  16. Mumbi afunguka kuhusu mapokezi ya tamasha ya filamu zaki Afrika nchini Australia

    Wanachama wa Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika ukumbi wa maarufu wa Opera House na Events Cinema kushiriki katika tamasha ya kila mwaka ya filamu zaki…

    05:43
  17. Taarifa ya Habari:Upinzani wa mseto waomba maelezo zaidi kabla ya kura ya mageuzi ya sheria za mitandao ya kijamii zilizo imarishwa

    Makampuni ya mitandao ya kijamii yanaweza kuwapa watumiaji chaguo la kuzima algoriti yao, chini ya rasimu za sheria zilizopangwa kufichuliwa na serikali wiki hii.

    13:21
  18. Yaliyojiri Afrika:Agizo la Rais Ruto lazua hofu miongoni mwa wahamiaji wenye asili ya Burundi

    Nchini Kenya, ukosoaji umekuwa ukiongezeka tangu tangazo la Rais William Ruto Jumatano iliyopita. Alisema kwamba biashara ndogo ndogo zinazoendeshwa na wageni nchini Kenya lazima z…

    08:54
  19. Makala Leo: Unachohitaji kujua kuhusu magonjwa ya msimu huu wa masika

    Australia inapo ingia katika majira ya kuchipua, wataalamu wanawasihi watu wasiache kujilinda dhidi ya magonjwa ya msimu.

    13:16
  20. Taarifa ya Habari:Sera ya malipo ya uzeeni ya One Nation yakosolewa vikali

    Chama cha One Nation kina kana kwamba sera yake mpya ya malipo ya uzeeni itasababisha uondoaji mkubwa wa malipo ya uzeeni, au kuongezeka kwa mfumuko wa bei.

    04:57
Now Playing