
Podcast

How are laws made in Australia? Through Wurundjeri Elder Uncle Dave Wandin’s story of the Birrarung, also known as the Yarra River, learn how an idea becomes a bill, passes through…

Zaidi ya wafanyakazi 460,000 wa afya, ulemavu na huduma za jamii wa Australia wanatarajiwa kuongezwa mishahara, wakati Serikali ya Shirikisho ikitangaza kifurushi cha ufadhili cha…

Wakati Bunge likijiandaa kujadili Muswada uliopendekezwa wa Wajibu wa Huduma ya Kidijitali, chama cha Greens kinataka sheria hizo ziende mbali zaidi kwa kuruhusu Waaustralia kuzish…

If you're first-time parents in Australia, choosing where and how to give birth can feel overwhelming. Whether you go through the public or private health system, it is important t…

Australia inajiandaa kwa kile kinachotarajiwa kuwa msimu hatari wa moto wa msituni unaosababishwa na tukio linaloitwa "super El Niño" pamoja na mabadiliko ya hali ya hewa.

Regular breast screening can help find breast cancer early, before you notice any signs or symptoms. Screening is free for eligible women or people at risk of breast cancer. It tak…

Mzozo wa kisheria kuhusu mpango wa Serikali ya Victoria wa kubomoa majengo marefu kadhaa ya makazi ya umma unaelekea katika Mahakama Kuu.

Baadhi ya wahudumu wa afya nchini Kenya wamehoji kiwango cha maandalizi ya kukabiliana na Ebola, wakisema wafanyakazi walio katika mstari wa mbele hawana mafunzo wala vifaa vya kut…

Jeshi la Polisi la New South Wales limesema timu mpya ya wataalamu, itaanza mazoezi ya mafunzo ya umma, kama sehemu ya kukabiliana na shambulio baya la fukwe ya Bondi ambalo liliua…

Vikosi vinavyoiunga mkono serikali ya Ethiopia vimeingia mjini Mekelle, ambao ni mji mkuu wa jimbo la Tigray kaskazini mwa nchi hiyo, baada ya waasi wa TPLF kutangaza kuondoka kufu…

After receiving a fine for not wearing his motorbike helmet correctly, Hugo decides to have the matter heard in court. His story explains how Parliament, government and the courts…

Mweka Hazina anaashiria kupunguzwa kwa matumizi katika bajeti mpya ya shirikisho mwezi Desemba, huku mfululizo wa ongezeko la viwango vya riba ukishindwa kuleta mfumuko wa bei ndan…

Je, unajua nani anaweza kusaidia kuhusu kibali cha biashara, tatizo la upangaji nyumba, au msaada wa kifamilia? Kupitia hadithi za Fedele, Carol na Abeer, fahamu jinsi ngazi tatu z…

Je, serikali, sheria, na huduma za umma za Australia huathirije maisha yako ya kila siku? Kupitia matukio halisi, sehemu hii ya utangulizi ya mfululizo huu inakuonyesha pa kuanzia…

Australia is a vast and diverse country to explore, but driving in rural and remote areas can involve conditions you may not encounter in cities. Knowing what to expect and how to…

Mh Dkt Jackson Kosgei ni Askofu mstaafu, na kwa sasa ana hudumu kama mjumbe aliyeteuliwa katika bunge la Kenya.

Serikali ya Shirikisho inasema inazingatia hatua za kisheria dhidi ya OpenAI, baada ya mmoja wa mawakala wake kukiuka mfumo wa Medicare wa Australia mnamo Juni, wakati wa tathmini…

Wanachama wa Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika ukumbi wa maarufu wa Opera House na Events Cinema Parramatta, kushiriki katika tamasha ya kila mwaka ya…

Shirika la African Australian Advocacy Centre (AAAC), lili zindua ripoti inayo weka wazi michango yawa Australia wenye asili ya Afrika kwa taifa hili usiku wa Jumamosi 19 Septemba…

Shirika la African Australian Advocacy Centre, lili zindua ripoti inayo weka wazi michango yawa Australia wenye asili ya Afrika kwa taifa hili usiku wa Jumamosi 19 Septemba 2026.
