SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,031 episodesLatest about 14 hours agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 3

  1. Mumbi afunguka kuhusu maandalizi ya tamasha ya filamu zaki Afrika nchini Australia

    Wanachama wa Jumuiya za Afrika wanao ishi jijini Sydney, New South Wales wana jiandaa kuhudhuria tamasha maalum.

    12:18
  2. Makala Leo: Dunia yamkumbuka gwiji wa muziki Dolly Parton

    Gwiji wa muziki wa Country, Dolly Parton, amefariki akiwa na umri wa miaka 80.

    09:05
  3. Yaliyojiri Afrika: CCM yamtimua Dkt Emmanuel Nchimbi

    Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM umemvua uanachama Emmanuel Nchimbi na kumpitisha Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, kujaza nafasi ya Makamu wa Rais.

    07:51
  4. Taarifa ya Habari:Australia yatoa kifurushi cha usaidizi cha dola milioni 5 kwa jamii zilizoathiriwa nchini Nepal

    Serikali ya Australia inaanzisha kifurushi cha usaidizi cha dola milioni 5 kwa jamii zilizoathiriwa nchini Nepal, huku idadi ya Waaustralia waliopotea ikiongezeka hadi 39.

    14:52
  5. Makala Leo:Kwa nini baraza lamawaziri wakitaifa haliku gusa vituo vya mbadala vya data

    Mkutano wa viongozi wa shirikisho, majimbo na wilaya ulimuacha Waziri Mkuu Anthony Albanese akikubali agizo la vituo vya data vinavyoweza kutumika tena.

    10:13
  6. Makala Leo:Wa Australia 34 miongoni mwa watu ambao wamepotea katika mafuriko Nepal

    Takriban watu 160 wameuawa, na mamia wakiwemo watalii na Waaustralia 34 hawajulikani walipo, kufuatia mafuriko makubwa yaliyotokea kwenye mpaka wa Nepal na Tibet.

    11:48
  7. Taarifa ya Habari:Makumi yawa Australia hawajulikani waliko katika mafuriko nchini Nepal

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amethibitisha kuwa Waaustralia 34, hawajulikani walipo baada ya mafuriko makubwa ya ghafla kwenye mpaka wa Nepal-Tibet.

    05:09
  8. Yaliyojiri Afrika:Ujumbe maalum wafuatilia usitishaji mapigano DRC

    Ujumbe wa kwanza wa aina yake umetumwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kufuatilia utekelezaji wa usitishaji mapigano kati ya jeshi la serikali na kundi la waasi la…

    07:33
  9. Taarifa ya Habari:Hospitali za New South Wales kupewa nafasi zaidi za matibabu

    Hospitali za New South Wales zitapata nafasi zaidi za matibabu za muda mfupi ili kupunguza shinikizo kwa idara za dharura.

    14:24
  10. Makala Leo: Mrundikano wa visa za wenza unao waacha waaustralia katika sintofahamu

    Mchakato mpya wa kipaumbele ambao unaweza fanya baadhi ya raia wa Australia, wasubiri kwa muda mrefu zaidi kwa wenzi wao kupokea visa umesababisha ukosoaji.

    08:38
  11. Makala Leo:'Usibofye kitu chochote':Jinsi barua pepe moja inavyoweza haribu biashara

    Waaustralia wanapoteza mamia ya mamilioni ya dola kutokana na matapeli, huku matapeli wakizidi kutumia akili mnemba kuwadanganya waathiriwa wao.

    07:34
  12. Taarifa ya Habari:Ripoti mpya yaitaka Australia iboreshe usalama wa dawa na itoe wakalimani kwa jamii za tamaduni mbalimbali

    Ripoti mpya imeangazia changamoto kubwa za usalama wa dawa zinazowakabili Waaustralia wenye tamaduni mbalimbali, na inatoa wito wa upatikanaji mkubwa wa taarifa na wakalimani wa da…

    13:56
  13. Yaliyojiri Afrika:7 wafariki katika ajali ya helikopta Kenya

    Watu saba, wakiwemo raia watano wa Marekani na mkuu wa ujasusi wa Ecuador, wamefariki baada ya helikopta ya watalii kuanguka karibu na Mlima Ololokwe, katika kaunti ya Samburu nchi…

    07:17
  14. Makala Leo:Mabadiliko ya NDIS yatakuathiri vipi?

    Mamia ya maelfu ya watu watapoteza msaada kutoka NDIS, baada ya mabadiliko yanayolenga kupunguza ukuaji katika mpango huo kupitishwa ndani ya Seneti kwa uungwaji mkono wa Upinzani…

    12:50
  15. Yaliyojiri Afrika:Askari pori watuhumiwa kwa mauaji ya raia Tanzania

    Kituo cha sheria cha haki za binadamu Tanzania, kime eleza wasiwasi kuhusu madai ya watu kuuawa, kujeruhiwa au kupotea katika maeneo ya hifadhi nchini humo.

    07:52
  16. Taarifa ya Habari:Upinzani wa Mseto watishia kuzuia mabadiliko ya NDIS isipokuwa mwanya wa kodi ya mjane utakapofungwa

    Upinzani wa Mseto unatishia kuzuia mabadiliko ya serikali kwa NDIS, isipokuwa serikali ya Labor iharakishe sheria ya kufunga kile kinachoitwa kodi ya mjane.

    13:56
  17. Makala Leo:Mageuzi ya NDIS yanatarajiwa kuwa sheria ila, wanaharakati wadai makato yata sababisha madhara

    Mageuzi ya Mpango wa Kitaifa wa Bima ya Watu Wenye Ulemavu yamejadiliwa katika Seneti, huku sheria ikitarajiwa kupitishwa wiki hii kwa msaada wa Upinzani wa Mseto.

    16:29
  18. Can you pick fruit from someone's garden? - Australia Yafafanuliwa:Je, unaweza chuma matunda kutoka bustani ya mtu?

    Walking through an Australian suburb, you might spot everything from curry leaves and lemons to tomatoes and herbs growing in front gardens or on verges. But is it legal to pick it…

    10:31
  19. Taarifa ya Habari:Wafanyakazi wa kusambaza vyakula kuongezewa mshahara kuanzia leo

    Takriban idadi yawa Australia 250,000 wanaosafirisha vyakula kutoka hotelini na dukani kwa ajili ya kujikimu, wanatarajiwa kupokea mshahara wa chini kisheria kwa mara ya kwanza.

    05:35
  20. Makala Leo:Serikali kuwekeza mamilioni katika nyumba za waathiriwa wa unyanyasaji wa majumbani; lakini je, inatosha?

    Mgogoro wa makazi ukiendelea, vurugu za kifamilia na majumbani (DFSV) ndio sababu kuu ya wanawake na watoto kuondoka nyumbani kwao na kukosa makazi.

    11:36
Now Playing