← SBS Swahili - SBS Swahili
How laws are made, and how they affect you | How Australia Works - Jinsi sheria zinavyotungwa, na jinsi zinavyokuathiri | Jinsi Australia Inavyofanya kazi. artwork

How laws are made, and how they affect you | How Australia Works - Jinsi sheria zinavyotungwa, na jinsi zinavyokuathiri | Jinsi Australia Inavyofanya kazi.

SBS Swahili - SBS Swahili
09:31
Play episode

Show notes

How are laws made in Australia? Through Wurundjeri Elder Uncle Dave Wandin’s story of the Birrarung, also known as the Yarra River, learn how an idea becomes a bill, passes through Victoria’s parliament and receives royal assent, the formal approval that makes it law. - Je, sheria hutungwaje nchini Australia? Kupitia simulizi ya Mzee wa ukoo wa Wurundjeri, Mjomba Dave Wandin, kuhusu Birrarung—ambayo pia inajulikana kama Mto Yarra—jifunze jinsi wazo linavyogeuka kuwa mswada, likapita katika bunge la Victoria na kupata idhini ya kifalme, ambayo ndiyo hatua rasmi ya kulifanya kuwa sheria. How Australia Works is an SBS podcast that uses real stories and clear explanations to help you understand how government work in Australia, how laws are made and changed, and how you can have a say. Listen to the series and find shorter versions in 60 languages on the How Australia Works main page. - "How Australia Works" ni podikasti ya SBS inayotumia hadithi halisi na maelezo yaliyo wazi kukusaidia kuelewa jinsi serikali inavyofanya kazi nchini Australia, jinsi sheria zinavyotungwa na kubadilishwa, na jinsi unavyoweza toa maoni yako. Sikiliza mfululizo huu na upate matoleo mafupi zaidi katika lugha 60. Kwenye Ukurasa wa How Australia Works.

More from this show

More
  1. Taarifa ya Habari:Zaidi ya wafanyakazi 460,000 wanatarajiwa kupata ongezeko la mishahara kwa ajili ya usawa wa kijinsia

    Zaidi ya wafanyakazi 460,000 wa afya, ulemavu na huduma za jamii wa Australia wanatarajiwa kuongezwa mishahara, wakati Serikali ya Shirikisho ikitangaza kifurushi cha ufadhili cha…

    15:36
  2. Makala Leo:Wajibu wa Huduma katika Nyanja ya Kidijitali: Greens wataka mamlaka ya kushtaki makampuni makubwa ya teknolojia

    Wakati Bunge likijiandaa kujadili Muswada uliopendekezwa wa Wajibu wa Huduma ya Kidijitali, chama cha Greens kinataka sheria hizo ziende mbali zaidi kwa kuruhusu Waaustralia kuzish…

    08:02
  3. Birth and pregnancy care options in Australia - Australia Yafafanuliwa:Chaguzi za huduma ya uzazi na ujauzito nchini Australia

    If you're first-time parents in Australia, choosing where and how to give birth can feel overwhelming. Whether you go through the public or private health system, it is important t…

    14:07
  4. Taarifa ya Habari:Australia yajiandaa kwa msimu hatari wa moto wa msituni unaosababishwa na "super El Niño"

    Australia inajiandaa kwa kile kinachotarajiwa kuwa msimu hatari wa moto wa msituni unaosababishwa na tukio linaloitwa "super El Niño" pamoja na mabadiliko ya hali ya hewa.

    14:31
  5. Breast screening: What to expect and why it matters - Australia Yafafanuliwa: Uchunguzi wa saratani ya matiti: Nini cha kutarajia na kwa nini ni muhimu

    Regular breast screening can help find breast cancer early, before you notice any signs or symptoms. Screening is free for eligible women or people at risk of breast cancer. It tak…

    14:21
  6. Makala Leo: Mzozo kuhusu ubomoaji wa minara mjini Melbourne wafikishwa katika mahakama kuu

    Mzozo wa kisheria kuhusu mpango wa Serikali ya Victoria wa kubomoa majengo marefu kadhaa ya makazi ya umma unaelekea katika Mahakama Kuu.

    08:10
Now Playing
How laws are made, and how they affect you | How Australia Works - Jinsi sheria zinavyotungwa, na jinsi zinavyokuathiri | Jinsi Australia Inavyofanya kazi. — SBS Swahili - SBS Swahili | Podcast | Josplay Music