SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,031 episodesLatest 2 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 51

  1. Marekani yaweka vikwazo dhidi ya wanajeshi na wanamgambo wa DRC na Rwanda

    Wanajeshi na wanamgambo 6 kutoka DR Congo na Rwanda wame wekewa vikwazo na Marekani kwa madai yaku chochea mizozo katika mashariki mwa Congo.

    07:00
  2. Historia ya tengezwa katika fainali ya kombe la dunia mjini Sydney

    Wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu kote duniani, walijumuika mbele ya runinga zao kutazama fainali ya Kombe la Dunia la FIFA kutoka mjini Sydney, Australia.

    09:22
  3. Taarifa ya Habari 22 Oktoba 2023

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema kampeni ya La kwa sauti yawa Australia wa kwanza bungeni, inajaribu kupotosha watu dhidi yakuwatambua wa Australia wa kwanza nakuanzisha tume y…

    16:21
  4. Richard Tuta "Nchi inapokumbwa na migogoro, maendeleo husahaulika"

    Nchi nyingi barani Afrika zina endelea kukabiliana na changamoto za migogoro na uhaba wa maendeleo kila uchao.

    07:29
  5. Kudhibiti ugonjwa wa vituo vya malezi ya watoto: Vidokezo kwa wahamiaji wapya na wazazi wa mara ya kwanza

    Kuanza kupeleka mtoto katika huduma ya malezi ya watoto mapema, inaweza kuwa suluhisho la vitendo kwa kusawazisha matarajio ya kazi na wajibu wa uzazi.

    09:41
  6. Taarifa ya Habari 20 Agosti 2023

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema sifa ya Australia duniani, ime imarika serikali inapo wekeza katika ulinzi pamoja na mahusiano yakimkakati.

    18:32
  7. Mchakato wa urithi ni upi nchini Australia

    Tofauti na nchi zingine, wa Australia huwa hawalipi kodi ya urithi kwa mali wanazo rithi.

    10:06
  8. Styve Derrick "tuna fursa za kazi ila tunakosa wafanyakazi Sweden"

    Makampuni na biashara nyingi duniani zina, endelea kukabiliana na changamoto yakuwapata wafanyakazi.

    10:09
  9. Justin "Covid ilisaidia watu wengi kujitambulisha katika jamii yawakenya Victoria"

    Ni kawaida kwa wahamiaji na watu walio wasili Australia kama wakimbizi, kujiunga na vikundi vya jumuiya za asili yao.

    11:32
  10. Taarifa ya Habari 15 Agosti 2023

    Takwimu mpya kutoka ofisi ya takwimu ya Australia, inaonesha kuwa mishahara imeongezeka sambamba na mfumuko wa bei katika robo ya Juni.

    15:52
  11. Ndahiro "kama haumudu sarafu yako hauna uhuru"

    Mapinduzi ya kijeshi nchini Niger yamezua hali ya wasiwasi, miongoni mwa nchi jirani katika eneo la Sahel.

    07:20
  12. Taarifa ya Habari 14 Agosti 2023

    Wazazi wa mwomba hifadhi kutoka Iran aliye uawa wakati wa mgomo katika kisiwa cha Manus mnamo 2014, wamefikia suluhu ya siri na serikali ya shirikisho pamoja na kampuni ya ulinzi y…

    06:49
  13. Voice Referendum: What is it and why is Australia having one? - Kura ya Maoni ya Voice: Ni nini na ni kwa nini tunaifanya?

    Australians will vote in the Indigenous Voice to Parliament referendum on October 14. Here’s what you need to know about the process, including why it’s taking place, and the infor…

    11:28
  14. Taarifa ya Habari 8 Agosti 2023

    Serikali ya New South Wales inawekeza $5.8 milioni kwa utoaji wa makaazi ya wanawake na watoto kote jimboni NSW wanao kimbia unyanyasaji na vurugu ya nyumbani.

    17:11
  15. Dkt Annefrida "Spika Ackson ameshindwa kusimamia demokrasia ndani ya bunge"

    Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limeitolea mwito serikali ya Tanzania kuacha kuwakandamiza wakosoaji wake baada ya mamlaka za nchi hiyo kuwakamata watu w…

    10:48
  16. Taarifa ya Habari 7 Agosti 2023

    Serikali itawasilisha hatua mpya zaku imarisha sheria za kodi, kwa ajili yaku zuia kashfa kama uvujaji wa kampuni ya PriceWaterhouse Coopers.

    08:29
  17. Taarifa ya Habari 6 Agosti 2023

    Wana harakati wa kampeni ya Ndio wametupilia mbali matokeo ya hivi karibuni ya kura ya maoni, yanayo dokeza uungwaji mkono wa the Voice unapungua.

    16:00
  18. Umuhimu wakuwa na marafiki kutoka tamaduni mbali mbali

    Kupata marafiki ni moja ya changamoto kubwa huwa tunakabili katika nchi mpya.

    11:34
  19. Taarifa ya Habari 29 Julai 2023

    Juhudi zakutafuta nakuokoa zina endelea kwa wanahewa wanne walio kuwa ndani ya helikopta ya jeshi la ulinzi la Australia, lililo anguka ndani ya bahari karibu ya kisiwa cha Hamilto…

    07:15
  20. Martin" Urusi haijali maslahi yawa Afrika"

    Kati ya 27-28 Julai, Rais Putin wa Urusi alikuwa mwenyeji wa kongamano la Urusi na mataifa ya Afrika mjini St Petersburg.

    07:15
Now Playing