SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,031 episodesLatest 2 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 50

  1. Taarifa ya Habari 6 Oktoba 2023

    Wataalam wamesema Australia inahitaji makumi yama elfu ya nyumba za ziada zakukodi, wakati viwango vya nyumba zakukodi vinarejea katika viwango vya chini katika rekodi hali ambayo…

    19:26
  2. Baadhi ya wahamiaji wafunguka kuhusu kura ya The Voice

    SBS ina tambua kuwa maoni yanayo wasilishwa katika makala haya, haya wakilishi maoni ya jumuiya pana na si uwakilishi wa takwimu ya umma wa Australia. Kura ya maoni ya The Voice it…

    05:06
  3. Mgahawa wa Music & Food waleta ladha mpya Sydney, Australia

    Walio hudhuria tamasha ya Africultures ya 2023, walikabiliawa kwa wakati mgumu wa kipi cha kuonja na kipi cha kupuuzwa.

    07:11
  4. Wahamiaji wanahitaji taarifa gani kabla waje Australia?

    Kila mwezi makumi yama elfu ya wahamiaji huwasili katika miji mbali mbali nchini Australia.

    11:17
  5. Taarifa ya Habari 3 Oktoba 2023

    Benki kuu ya Australia imeacha kiwango cha hela taslim kwa 4.1% kwa mwezi wa nne mfululizo.

    18:34
  6. Hatua zaku uza gari yako nchini Australia

    Inapofika wakati waku aga gari yako ya zamani, kuna mengi yakufanya zaidi yaku iosha, kutoa kitabu cha ukarabati pamoja nakupokea malipo.

    10:57
  7. Taarifa ya Habari 1 Oktoba 2023

    Seneta wa chama cha Greens Jordan Steele-John amesema panastahili kuwa waziri washirikisho wa ulemavu, anaye stahili ongoza utekelezwaji wa mapendekezo kutoka tume yakifalme kwa ul…

    18:20
  8. Hatimae Martin Fayulu atangaza atawania Urais DRC

    Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Martin Fayulu, Jumamosi alithibitisha kugombea urais kwenye uchaguzi wa tarehe 20 Disemba 2023.

    08:24
  9. Taarifa ya Habari 26 Septemba 2023

    Daniel Andrews ametangaza uamuzi wake wakujiuzulu kama kiongozi wa Victoria.

    15:05
  10. Jinsi yakujiandaa kufanya mtihani wa uraia wa Australia

    Kuwa raia wa Australia ni uzoefu wa kusisimua na wenye zawadi kwa wahamiaji wengi.

    12:43
  11. Wambui azindua kampuni ya mavazi ya Ga-Kenia

    Tamasha ya Africultures hutoa fursa nyingi kwa wajasiriamali kukutana na kupata wateja wapya.

    06:30
  12. Taarifa ya Habari 5 Septemba 2023

    Serikali imesema haita piga hatua nyuma kwa pendekezo la sauti yawa Australia wa kwanza bungeni, licha ya matokeo mapya ya kura ya maoni ambayo yanaonesha hali si nzuri kwa kura ya…

    18:16
  13. Wimbo maarufu wa John Farnham watumiwa katika kampeni ya kura ya Ndio

    Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton amesema atafanya kura nyingine ya maoni, kama kura yakuweka sauti yawa Australia wa kwanza bungeni ndani ya katiba inafeli.

    07:01
  14. Taarifa ya Habari 4 Septemba 2023

    Waziri wa mazingira Tanya Plibersek amekosoa msimamo wa kiongozi wa upinzani Peter Dutton kwa Sauti yawa Australia wa kwanza bungeni.

    07:24
  15. Taarifa ya Habari 3 Septemba 2023

    Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amesema uamuzi wa serikali ya Labor kukataa ombi la shirika la ndege la Qatar, kuongeza huduma zaidi nchini Australia kuta wadhuru wa Australia.

    16:44
  16. Delphine "Jamii imepokea kazi zetu vizuri ila, tunahitaji waje tushirikiane nao zaidi"

    Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika viwanja kwa Sydney Olympic Park kwa tamasha ya Africultures 2 Septemba 2023.

    07:27
  17. Brian "Kita eleweka 16 Septemba ndani ya Melbourne Pavilion"

    Brian 'Swagga Boy' Agina ni bondia mwenye asili ya Kenya anaye ishi jimboni Victoria, Australia.

    17:47
  18. Kuku ashawishi ushindi katika tamasha ya Tamaduni Day

    Wanachama wa jumuiya yawa Kenya wanao ishi jimboni Victoria, hivi karibuni walishiriki katika tamasha ya tamaduni zao.

    09:40
  19. Taarifa ya Habari 29 Agosti 2023

    Waziri Mkuu Anthony Albanese, ajiaandaa kutangaza tarehe ya kura ya moani kwa Sauti yawa Australia wa Kwanza bungeni.

    17:04
  20. Jinsi yaku saidia wanyamapori walio jeruhiwa nchini Australia

    Australia ni nyumbani kwa baadhi ya wanyamapori wa aina mbalimbali na wanaovutia duniani, matokeo ya kutengwa kwa Australia kama bara na historia yakipekee ya mageuzi ambayo yameto…

    12:21
Now Playing