
Podcast

Tangu 2024, serikali ya shirikisho imezindua sera kadhaa zaku zuia idadi ya wanafunzi wakimataifa, pamoja naku ongeza ada ya maombi ya viza ya wanafunzi na, kupunguza kasi muda wa…

Australia imesimamisha oparesheni katika ubalozi wake katika mji mkuu wa Iran, nakuamuru kuondoka kwa maafisa wote wa Australia kwa sababu yakudorora kwa mazingira ya usalama.

Haipendezi kufikiria kuhusu matukio yanayo weka nyumba na mali yako hatarini, ila haviko kawaida.

Ulaya imechukua nafasi yaku fanya mashauriano na Iran, mawaziri wa mambo ya nje wa Uingereza, Ujerumain na Ufaransa wanazungumza na mshirika wao kutoka Iran.

Wachezaji wa soka katika mashindano mjini Perth, wanafanya mengi zaidi yakufunga magoli, wanajenga madaraja kati ya jamii naku mulika nguvu ya jamii zawakimbizi wa Magharibi Austra…

Waziri Mkuu Anthony Albanese amefanya mikutano na rais mpya wa Korea Kusini, pamoja na katibu mkuu wa NATO pembezoni mwa mkutano wa G7.

Uhuru wa vyombo vya habari na vyombo vya habari tofauti ni alama muhimu ya afya nzuri ya demokrasia ambako raia na waandishi wa habari wana mamkalaka ya kujielezeza, kupata taarifa…

Waziri Mkuu Anthony Albanese, amesema mazungumzo kati yake na mshiriki wake kutoka Canada katika mkutano wa G7, ilikuwa fursa yaku imarisha tena uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

Wiki hii timu ya mpira wa miguu ya taifa Socceroos, ili fuzu kwa Kombe la Dunia tena baada yakupata ushindi dhidi wenyeji wao Saudi Arabia.

Balozi wa zamani wa Australia nchini Marekani, Arthur Sinodinos, amesema mkataba wa AUKUS unastahili kuwa kipaumbele kikuu katika mkutano kati ya Waziri Mkuu Anthony Albanese na Ra…

Mwaka jana pekee, zaidi ya kesi 3200 za ulaghai wa mapenzi zili ripotiwa nawa Australia.

Kiongozi wa Tasmania wa chama cha Liberal anatarajiwa kuitisha rasmi uchaguzi wa mapema hii leo, hatua itakayo rejesha jimbo hilo la kisiwa katika uchaguzi wa pili katika muda wa m…

SBS ina sherehekea miaka 50.

Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu amefariki akiwa na umri wa miaka 68.

Bunge ya Tasmania yapitisha kura yakutokuwa na imani kwa kiongozi wa jimbo hilo Jeremy Rockliff. Mswada huo ulio wasilishwa na kiongozi wa chama cha Labor Dean Winter, ulipita kwa…

Unajua mtu anaye toa mchango usio wa kawaida katika jamii? Anaweza kuwa mtu kutoka mazingira yoyote, au mwenye taaluma yoyote.

Marekani imetumia kura yake ya turufu dhidi ya azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, lililo kuwa likiomba kusitishwa kwa vita pamoja na misaada yakibinadam kuruhusiwa ku…

Uchambuzi mpya wa hazina ume onesha gharama ya Kimbunga Alfred na mafuriko mengine katika majimbo ya New South Wales na Queensland imefika takriban $2.2 bilioni dollars.

Seneta Dorinda Cox wa Magharibi Australia ametangaza anahama kutoka chama cha Greens, na atakuwa Seneta wa chama cha Labor hii leo Juni 3.

Australia has a dark chapter of history that many are still learning about. Following European settlement, Aboriginal and Torres Strait Islander children were removed from their fa…
