SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,031 episodesLatest 1 day agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 25

  1. Taarifa ya Habari 24 Julai 2025

    Australia imefanya makubaliano makubwa na Marekani katika jaribio lakupewa msamaha wa ushuru, kwa kuondoa Marufuku kwa nyama ya Marekani. Hadi sasa, marufuku hiyo ilitumiwa kwa nya…

    06:37
  2. Dr Nadine "Afrika Diaspora Co-operative itatupa fursa za uwekezaji"

    Wanachama wa jamii zenye asili ya Afrika wanao ishi jimboni New South Wales, wame ungana kuunda shirika linalo toa fursa za uwekezaji wa muda mrefu.

    12:36
  3. SBS Learn Eng Ep 43 Jinsi yakuzungumza kuhusu kusoma na vitabu

    Je, unajua jinsi yaku zungumza kuhusu kusoma na vitabu?

    14:52
  4. Taarifa ya Habari 22 Julai 2025

    Waziri Msaidizi wa Waziri Mkuu amesema serikali iko tayari kuwafanyia kazi wa Australia, katika kikao cha kwanza cha bunge la shirikisho hii leo.

    14:15
  5. Msimu mpya wa Bunge wafunguliwa Canberra- kwa wakongwe na wageni

    Wanasema siasa hutengeza wenza wa ajabu, na bunge la 48 limejaa wenza hao.

    14:18
  6. Rwanda yajipata pabaya katika ripoti ya kamati ya usalama ya Umoja wa Mataifa

    Ripoti ya siri ya watalaam wa Umoja wa Mataifa imeishtumu Rwanda kwa kutoa maagizo na kudhibiti shughuli za waasi wa M23.

    07:07
  7. Taarifa ya Habari 4 Julai 2025

    Kamishna wa zamani wa tume yakifalme ame kosoa serikali, kwa kufeli kuchukua hatua haraka kwa mfumo wakitaifa wakufanya ukaguzi kwa ajili yakufanya kazi na watoto.

    15:48
  8. Jinsi pombe inavyodhibitiwa na kutumiwa nchini Australia

    Huenda umesikia kwamba wa Australia ‘ni maarufu kwa kunywa’, haswa wakati wa matukio makubwa ya michezo au katika siku kuu za umma.

    15:16
  9. Shangwe na furaha ya shuhudiwa jijini Fairfield, NSW

    Wanachama wa jumuiya ya DR Congo wanao ishi jimboni NSW, Australia walijumuika kwa sherehe maalum katika uwanja wa Fairfield Park, Fairfield, NSW.

    06:59
  10. Taarifa ya Habari 1 Julai 2025

    Mamia ya wafanyakazi wa huduma za dharura, helikopta na magari yawataalam yako katika hali ya tahadhari wakati kimbunga kina elekea katika maeneo ya kanda yanayo endelea kupona maf…

    15:09
  11. Uwakilishi wa Mataifa ya Kwanza katika vyombo vya habari: Nini kinabadilika, kwa nini ni muhimu

    Uwakilishi wa WaAustralia wa Asili katika vyombo vya habari kihistoria umechangiwa na mila potofu na kutengwa ila, hali hii inabadilika pole pole.

    12:00
  12. Taarifa ya Habari 30 Juni 2025

    Anthony Albanese amesema Australia haita ongeza matumizi yake ya ulinzi mwezi wa Aprili ijayo kama sehemu ya mkakati wa ulinzi wa taifa, baada ya wito kutoka Marekani kupiga jeki b…

    07:29
  13. Wakenya waingia debeni jimboni Victoria

    Wanachama wa Jumuiya yawa Kenya wanao ishi Victoria (KCV), wanashiriki katika uchaguzi wa bodi mpya ya viongozi wao.

    13:51
  14. Taarifa ya Habari 27 Juni 2025

    Waziri Mkuu wa Anthony Albanese ametetea msimamo wa serikali kwa matumizi ya ulinzi, nakutupilia mbali wito kutoka utawala wa Trump kuongeza matumizi hadi asilimia 3.5 ya pato la t…

    15:19
  15. Australia ya Fafanuliwa: Mwongozo wako wa safari za theluji nchini Australia

    Unapenda theluji kiasi gani? Au ume wahi iona?

    16:39
  16. Taarifa ya Habari 26 Juni 2025

    Waziri wa fedha wa shirikisho Katy Gallagher ametetea bajeti ya ulinzi ya Australia, wakati kuna shinikizo kutoka humu ndani na kutoka ng’ambo.

    04:42
  17. SBS Learn Eng Ep 39 Jinsi yakufanya marejesho yako ya ushuru

    Je, unajua jinsi yakufanya marejesho ya ushuru?

    16:54
  18. Shariff "vijana tuongeze bidii katika shughuli zetu, tusitegemee wanasiasa"

    Neno goons lina sifa mbaya katika jamii, haswa kwa vijana wengi ambao hu husishwa na maswala yanayo enda kinyume na sheria na maadili mazuri.

    11:29
  19. Taarifa ya Habari 24 Juni 2025

    Waziri wa Mambo ya Nje Penny Wong amesema Australia imesimamisha uhamishaji kwa mabasi kutoka Israel, kufuatia shambulizi la Marekani katika vifaa vya nyuklia vya Iran ila, inajian…

    15:13
  20. SBS Learn Eng Ep19 Jinsi ya kupanda Bustani na mimea | Bustani za jamii

    Je, unajua jinsi ya kuzunguza kuhusu jinsi yakupanda bustani ya jamii na miema?

    13:31
Now Playing