SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,031 episodesLatest about 22 hours agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 13

  1. Australia Yafafanuliwa:Huduma za kisheria za wanawake nchini Australia:elewa chaguzi zako

    Ubaguzi katika sehemu za kazi, unyanyasaji wa kijinsia na ukosefu wa usawa wa kifedha—hizi ni baadhi ya sababu, zinazowafanya wanawake wahitaji huduma maalum za kisheria.

    14:50
  2. Makala leo: Marekani yazuia bandari za Iran

    Mazungumzo kati ya Marekani na Iran yameshindwa kufikia makubaliano ya kukomesha vita, na kuhatarisha usitishaji wa mapigano kwa muda wa wiki mbili.

    09:04
  3. Taarifa ya Habari: Kenya na Ufaransa zapiga hatua katika mkataba wa ulinzi

    Serikali ya Australia inasema haifikirii kutuma meli katika Mlango-Bahari wa Hormuz, baada ya Rais Donald Trump kusema mataifa mengine yatahusika katika kizuizi cha Marekani kwenye…

    05:39
  4. Australia Yafafanuliwa: Kazi mpya, mwanzo mpya: jinsi ya kubadilisha kazi nchini Australia

    Ni kawaida kufikiria upya maisha yako ya kazi. Baadhi wanatafuta fursa mpya. Wengine wanataka kazi inayolingana vyema na ujuzi wao, maadili, au hali zao.

    14:23
  5. Taarifa ya Habari: Serikali ya Australia na Singapore kutia saini makubaliano mapya ya usambazaji wa mafuta

    Waziri Mkuu Anthony Albanese anasema uhusiano kati ya Australia na Singapore ni muhimu zaidi kuliko hapo awali, nchi hizo mbili zikijiandaa kusaini makubaliano mapya ya mafuta.

    13:11
  6. Yaliyojiri Afrika: Upinzani waomba Tundu Lisu aachiliwe huru bila masharti

    Chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA kina shinikiza kuachiliwa huru kwa kiongozi wao Tundu Antiphas Mughwai Lissu bila masharti.

    07:59
  7. Makala leo: Maumivu ya madereva katika vituo vya petroli yanaweza endelea kwa muda

    Tangazo la kusitisha mapigano Mashariki ya Kati linaonekana kupunguza maumivu ya madereva katika vituo vya petroli, Iran ikikubali kuruhusu meli kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz.

    08:31
  8. Taarifa ya Habari:Australia yashinikiza kupanua usitishaji mapigano Mashariki ya Kati ujumuishe Lebanon

    Waziri Mkuu Anthony Albanese ametoa wito kwa Israel kukomesha mashambulizi yake dhidi ya Lebanon, akisema usitishaji wa mapigano katika eneo hilo la Mashariki ya Kati unapaswa kupa…

    05:22
  9. Mahojiano: Je makanisa yanastahili watenga viongozi ambao wame sababisha maafa katika nchi zao na duniani?

    Waumini wa dini laki Kristo kote duniani, wali jumuika katika sehemu mbali mbali kusherehekea Pasaka.

    10:46
  10. Yaliyojiri Afrika:M23 yashinikiza mabadiliko ya katiba ya DRC na uhuru wa majimbo ya Kivu kujiongoza

    Wawakilishi wa serikali ya DR Congo na kundi la M23 wanajiandaa kukutana nchini Uswizi kwa awamu nyingine ya mazungumzo.

    08:46
  11. Taarifa ya Habari: Hatari ya barabarani wakati wa Pasaka ya zua wito wa kuteuliwa kwa waziri wa usalama

    Serikali inasema mahitaji ya mafuta yaliongezeka kwa theluthi moja wakati wa mapumziko ya Pasaka.

    12:35
  12. Makala leo: Wakristo waadhimisha Pasaka na Jumapili ya Matawi kwa mioyo mizito na furaha

    Waumini wa dini laki kristo walisherehekea Jumapili ya Pasaka, wakiadhimisha tukio hilo wakati vita katika maeneo ya Mashariki ya Kati vikifunika sehemu kubwa ya dunia.

    09:36
  13. Makala leo: Waustralia waonywa kupata chanjo dhidi ya aina ya mafua inayo sambaa haraka

    Wataalamu wa magonjwa ya kuambukiza wanahimiza kila mtu apate chanjo ya mafua, kwa ajili ya kujaribu kuzuia kurudia kwa mwaka jana ambapo Australia ilishuhudia idadi kubwa ya vifo…

    07:35
  14. Taarifa ya Habari: Australia yapata usambazaji wa mafuta wa mwezi mwingine

    Serikali ya shirikisho imesema ugavi wa akiba ya mafuta ya Australia sasa umeongezwa hadi Mei, kuanzia katikati ya Aprili.

    04:36
  15. Taarifa ya Habari: 13 wauawa katika milipuko Burundi

    Ushuru wa petroli unatarajiwa kupunguzwa zaidi, wakati viongozi wa majimbo na wilaya wakikubaliana kuhusu mpango wa kurejesha mapato ya ziada ya ushuru wa bidhaa na huduma kutokana…

    14:41
  16. Makala leo: 'Acha kutumia miili ya wanawake' kundi la misaada laonya, unyanyasaji wa kingono ukienea Sudan

    Wanawake na wasichana wanaokimbia vita vya Sudan wanaelezea ubakaji, mateso na unyanyasaji, huku wafanyakazi wa misaada wakionya kwamba mateso yanazidi kuwa makubwa kuliko visa vin…

    14:26
  17. Makala leo: Hotuba ya Waziri Mkuu yapokewa kwa hisia mseto

    Hotuba ya kitaifa ya Waziri Mkuu Anthony Albanese kuhusu uchumi unaokabiliwa na matatizo nchini humu, inayosababishwa na mgogoro wa nishati duniani, imepokewa kwa hisia mseto.

    09:53
  18. Taarifa ya Habari: Milipuko yasababisha mtafaruku Bujumbura

    Waziri wa ulinzi amethibitisha kwamba Australia itajiunga na kundi la mataifa katika mkutano wa dharura kuhusu jinsi ya kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz.

    06:23
  19. Makala leo: Afueni kwa madereva wanaokabiliwa na matatizo baada ya serikali kupunguza ushuru wa mafuta

    Baada ya wiki kadhaa za shinikizo kuhusu kupanda kwa bei ya petroli, serikali ya shirikisho imepunguza kodi ya mafuta kwa nusu.

    10:34
  20. Taarifa ya Habari: Serikali yachukua hatua yakupunguza bei ya mafuta nchini baada ya siku kadhaa za shinikizo

    Waziri Mkuu amesema serikali yake imechukua hatua ya kupunguza bei ya mafuta kote nchini, kwa sababu hata kama vita vitaisha mara moja, madhara ya kiuchumi yataendelea.

    13:35
Now Playing