SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,031 episodesLatest about 21 hours agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 12

  1. Makala leo: Mazungumzo kati ya Marekani na Iran yavunjika tena

    Mazungumzo kati ya Marekani na Iran yamevunjika baada ya Rais wa Marekani Donald Trump, kutangaza Jumapili kwamba anafuta safari ya mjumbe wake kwenda Pakistan.

    11:19
  2. Wiki Hii barani Afrika: Somaliland tayari kuipa Marekani rasilimali zake kwa ajili yakutambuliwa kama taifa

    Uongozi wa Somalilanda, uko tayari kuipa marekani haki za kuchimba madini nakuweka kambi zaki jeshi, kwa ajili yakutambuliwa kama nchi huru.

    07:02
  3. SBS Learn Eng Ep 108 Jinsi yakuzungumza kuhusu gharama ya maisha

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu gharama ya maisha ukitumia Kiingereza?

    09:26
  4. Taarifa ya Habari: Hatimae Tume ya Jaji Chande yatoa ripoti ya vurugu za uchaguzi Mkuu Tanzania

    Waziri Mkuu anasema wavu wa usalama wa umma utakuwa tayari kwa wakati, kuwasaidia Waaustralia watakao ondolewa kutoka Mpango wa Bima wa Kitaifa ya Ulemavu (NDIS) yenye thamani ya m…

    13:44
  5. Makala leo: Watetezi waunga mkono uamuzi wa kuoga bure katika huduma ya utunzaji wa wazee nyumbani

    Wiki hii umakini mkubwa umekuwa kwenye Mfumo wa Kitaifa wa Bima ya Watu Wenye Ulemavu (NDIS), serikali ya shirikisho ikitangaza makato ambayo yanakadiriwa yata ondoa makumi ya mael…

    12:23
  6. The overlooked story: Aboriginal and Torres Strait Islander service on ANZAC Day - Hadithi iliyopuuzwa: Huduma yawa Aboriginal na wana Visiwa wa vya Torres Strait katika siku ya ANZAC

    Each year Australians gather on ANZAC Day to remember those who served in wars, conflicts and peacekeeping missions. But whose stories are we remembering? Are there stories we don’…

    09:48
  7. Taarifa ya Habari:Waathiriwa wa maandamano wakataa mapendekezo ya sasa ya kuhusu fidia nchini Kenya

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amepuuza matarajio ya vikwazo vikali vya mafuta, kabla ya mkutano wa kitaifa wa baraza la mawaziri leo [[Alhamisi Aprili 23]].

    05:26
  8. Makala leo: Waombolezaji wa Kitaalamu wa Kenya walipwa kulia

    Unawezaje hakikisha kwamba msiba uta hudhuriwa na watu wengi? Baada ya yote, jambo la mwisho unalotaka kutokea unapo aga dunia... ni kuondoka bila shamra shamra yoyote.

    08:37
  9. Wiki Hii barani Afrika:Papa Leo aomba mamlaka ya Angola kumaliza ubaguzi ambao ume endelea kusumbua nchi hiyo

    Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Leo XIV, amekemea vitendo vya rushwa na kuzitaka mamlaka za Angola kumaliza ubaguzi ambao ume endelea kusumbua nchi hiyo tangu kumalizika kwa vita…

    06:59
  10. Taarifa ya Habari:Australia ya omba matokeo ya mazungumzo katika Mlango-Bahari wa Hormuz

    Waziri wa Mambo ya Nje Penny Wong anasema Australia ina omba matokeo ya mazungumzo katika Mlango-Bahari wa Hormuz, baada ya Marekani kushambulia na kukamata meli ya mizigo yenye be…

    13:51
  11. Hadithi iliyopuuzwa: Huduma yawa Aboriginal na wana Visiwa wa vya Torres Strait katika siku ya ANZAC

    Siku ya ANZAC ni moja ya siku muhimu zaidi za kitaifa nchini Australia. Kila mwaka, watu hukusanyika kuwakumbuka waliohudumu katika vita, migogoro na misheni za kulinda amani.

    11:11
  12. Taarifa ya Habari: DRC na M23 wa afikiana kuhusu hatua muhimu za kibinaadamu

    Mweka Hazina wa taifa Jim Chalmers anasema atafanya mazungumzo na serikali za majimbo na mikoa, kuhusu kupunguza ukuaji wa Mfumo wa Kitaifa wa Bima ya Ulemavu (NDIS).

    06:04
  13. Wiki Hii Afrika: CHADEMA chafungua ofisi zake tena Tanzania baada yakupigwa marufuku

    Mahakama ya rufaa ime ondoa marufuku dhidi ya viongozi wa CHADEMA kushiriki katika maswala ya siasa Tanzania.

    07:29
  14. Nicky "Mwaka huu Taunet imelenga kufunza watoto wetu lugha na utamaduni wetu"

    Wanachama wa shirika la Taunet Nelel Melbourne, wame andaliwa sherehe maalum na viongozi wao.

    13:51
  15. Taarifa ya Habari 17 Aprili 2026

    Waziri wa Nishati Chris Bowen anasema uzalishaji wa petroli katika kiwanda cha kusafishia mafuta cha Geelong utaathiriwa kufuatia tukio la moto mapema wiki hii, lakini mmiliki wa k…

    12:40
  16. SBS Learn Eng Ep 106 Kuzungumza kuhusu vyakula ambavyo haufahamu

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu vyakula ambavyo haufamu?

    09:18
  17. Makala Leo: Sera tata ya uhamiaji ya kiongozi wa upinzani Angus Taylor yakosolewa vikali

    Kiongozi wa upinzani Angus Taylor ameelezea sera mpya ya uhamiaji yenye msimamo mkali ya Upinzani wa Mseto

    12:47
  18. Taarifa ya Habari: Zima moto wakabiliana na moto mkubwa katika kiwanda cha kusafisha mafuta

    Kuna ripoti za uharibifu mkubwa kwa moja ya viwanda viwili vya mwisho vya kusafisha mafuta vilivyosalia nchini Australia, kikosi cha zimamoto kikiitikia moto uliozuka katika eneo l…

    06:15
  19. Wiki hii Afrika: Rais Ruto ataka mageuzi katika muundo wa Muungano wa Afrika ili ifikie uwezo wayo kamili

    Rais wa Kenya, William Ruto amesema Umoja wa Afrika katika muundo wake wa sasa, hauja andaliwa ipaswavyo ili kulisaidia bara la Afrika kufikia uwezo walo kamili wa maendeleo na ust…

    07:56
  20. Taarifa ya Habari: Historia ya tengezwa baada ya mwanamke kuteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Australia

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya Australia, mwanamke ameteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Australia. Waziri Mkuu alitangaza uteuzi wa Luteni Jenerali Susan Coyle mjini Canberra.

    14:32
Now Playing