


Healthy Relationship can reveal the parts of you that being single never could, Ulidhani ume-Heal untill you meet someone who trigger you. https://linktr.ee/ulimwenguwaufeminine

Kujitambua na kujiponya ni vitu viwili tofauti. Self awareness isn’t Healing. you need both. Nimezungumzia nini maana halisi ya kujifanyia kazi na utaanzia wapi na nini cha kufanya…

Sambamba na ego kuwa chanzo kikubwa cha kukufanya ushindwe kufurahia maisha na mahusiano pia kuna hizi attachment issue ambazo ni chanzo kingine kikubwa cha wewe kuwa mtumwa wa wen…

Nimezungumzia Nini maana ya Seduction energetically na jinsi ya kuwa mwanamke seductive na utajuaje wewe siyo seductive woman.

Pt1, Jinsi ya kuwa na the best sex siyo tu bora sex..

self awareness ndio chanzo cha wewe kuishi vile unavyostahili, kuwa magnetic, irressistable, unforgettable. Let’s dive in.
