SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,031 episodesLatest 2 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 48

  1. Taarifa ya Habari 27 Novemba 2023

    Mateka 17 wa Israel wame achiwa huru na wafungwa 39 waki Palestina nao pia wame achiwa huru katika siku ya tatu ya kusitishwa kwa vita kati ya Israel na Hamas.

    06:15
  2. Unahudhuria au ni mwenyeji wa sherehe yaki Australia? Haya ndiyo unahitaji jua

    Hakuna uhaba wa matukio yaku sherehekewa nchini Australia.

    10:54
  3. Tim "tuna endelea kutumia mbinu tofauti kuwafunza watoto wetu tamaduni zetu"

    Wanajumuia wa Mulembe wanao ishi mjini Melbourne, wali wakilishwa kwa fahari nakupokewa vyema katika tamasha ya African Music Festival 2023 mjini Melbourne, Victoria.

    09:28
  4. Taarifa ya Habari 24 Novemba 2023

    Waziri Mkuu amesisitiza kuwa serikali yake inafanya iwezavyo kupunguza mfumuko wa bei, na kiongozi wa benki kuu ana amini inaendelea kutokea ndani.

    19:32
  5. Somalia yatengeza historia katika fainali ya kombe la Afrika Kusini Australia

    Timu ya Somalia, imekuwa ikishiriki katika michuano ya kombe la Afrika la Kusini Australia bila mafanikio makubwa.

    06:58
  6. Yemba Fashion "nimezaliwa namapenzi yakuvaa vizuri, na tofauti na wengine"

    Wanaume wengi kutoka DR Congo wanajulikana kwa mavazi yao yanayo vutia.

    13:04
  7. Taarifa ya Habari 21 Novemba 2023

    Takwimu mpya zina dokeza kuwa vijana nchini Australia wana punguza matumizi yao zaidi kuliko vikundi vingine, na wanapunguza pia matumizi kwa vitu muhimu.

    21:17
  8. Melbourne yapata kionjo cha Mwomboko

    Wakaaji wa mji wa Melbourne wanatazamia kushuhudia maonesho yakitamaduni ya miziki kutoka bara la Afrika kuanzia Ijumaa 17 Novemba hadi Jumapili 20 Novemba 2023.

    11:26
  9. Taarifa ya Habari 17 Novemba 2023

    Waziri Mkuu Athony Albanese ashiriki katika mkutano wa APEC ambako mabadiliko ya hali ya hewa na nishati mbadala ni miongoni mwa mada za majadiliano.

    19:17
  10. Taarifa ya Habari 14 Novemba 2023

    Serikali ya shirikisho imesema inapanga kufanya mfumo wa ustawi wa Australia kuwa waki "utu" zaidi, baada ya ripoti mhimu ya tume yakifalme kwa mfumo wa Robodebt kutolewa.

    18:30
  11. Sera ya KRA yazua utata ndani na nje ya nchi

    Shirika la Kenya Revenue Authority (KRA), lime tawala gumzo miongoni mwa wakenya kote duniani baada yakutangazia umma mchakato mpya wa utoaji wa ushuru nchini humo.

    18:17
  12. Taarifa ya Habari 7 Novemba 2023

    Serikali ya Albanese inasema mahusiano na China, yako katika sehemu nzuri kuliko mwaka jana, wakati Waziri Mkuu Anthony Albanese ana endelea na ziara yake nchini humo.

    21:16
  13. Kupendwa nakuchukiwa kwa rangi na ukatili

    Melbourne Cup ni moja ya matukio ya michezo maarufu ya kila mwaka nchini Australia.

    07:19
  14. Ni wakati gani unapaswa fikiria kuomba mkopo wakibinafsi

    Wakati kuna ongezeko la hitaji lakusimamia vizuri gharama zetu za maisha, kuna ongezeko ya idadi ya watu wanao rejea katika mfumo wa mikopo binafsi.

    12:24
  15. Taarifa ya Habari 3 Novemba 2023

    Waziri Mkuu Anthony Albanese anajiandaa kusafiri kesho Jumamosi 4 Novemba, kuanza ziara ya siku nne nchini China, katika ziara ya kwanza yakidiplomasia ya kiongozi wa Australia kat…

    20:41
  16. Somalia yapita mtihani wao dhidi ya Jordan

    Timu 32 zinashiriki katika michuano ya kombe la dunia, inayo andaliwa na shirika la African Australia Football Association mjini Sydney, NSW.

    05:35
  17. Sudan Kusini yapiga hatua ya kwanza kutetea kombe lao

    Timu 32 zinashiriki katika michuano ya kombe la dunia, inayo andaliwa na shirika la African Australia Football Association mjini Sydney, NSW.

    04:26
  18. Taarifa ya Habari 31 Oktoba 2023

    Waziri Bill Shorten amesema taarifa ya pamoja iliyo tiwa saini na mawaziri wakuu sita wa zamani wa Australia, kuhusu vita vya Gaza, kimsingi ina mulika msimamo wa serikali ya shiri…

    21:01
  19. Ongezeko za kodi zawafungia baadhi yawapangaji nje ya soko la nyumba za upangaji

    Wapangaji kote nchini wana onywa kuhusu hali ngumu inayo kuja, wakati utoaji mdogo wa nyumba unaongeza hela za kodi.

    08:02
  20. Mercy 'Tumekuja huku kupata ujuzi kisha tuurudishe nyumbani Kenya"

    Wakenya wanaendelea kuwasili nchini Australia kwa viza mbali mbali, baadhi yao wakija kama wahamiaji na wengine kama wanafunzi wakimataifa.

    12:44
Now Playing