SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,031 episodesLatest 2 days agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 45

  1. What is Lunar New Year, and how is it celebrated in Australia? - Mwaka Mpya wa Lunar ni nini, na unasherehekewaje Australia?

    "Lunar New Year", also known as the "Spring Festival", has become a significant part of Australian culture. The celebration is so popular that Sydney's version is considered the la…

    10:32
  2. Taarifa ya Habari 13 Februari 2024

    Serikali ya shirikisho iko katika hatari yaku kosa kuungwa mkono kwa sera yake muhimu ya nyumba.

    18:56
  3. Vincent afunguka kuhusu sekta ya ucheshi Australia

    Idadi ya wacheshi wenye asili ya Afrika ina endelea kuongezeka nchini Australia.

    07:12
  4. Taarifa ya Habari 9 Februari 2024

    Uchambuzi mpya wa shirika la Regional Australia Institute umepata kuwa bei za nyumba katika maeneo ya kanda, zina fika viwango vya juu nakukaribia bei katika soko za miji.

    18:11
  5. Ni mbinu ipi bora ya kutokomeza ukeketaji

    Mashirika mbali mbali yana endelea kuongeza juhudi kutokomeza ukeketaji, pamoja nakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.

    11:38
  6. Taarifa ya Habari 8 Februari 2024

    Waziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape, ame hotubia bunge la Australia.

    06:39
  7. Saada afunguka kuhusu umuhimu wakutokomeza ukeketaji

    Februari 6 ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukeketaji, mashirika na mamlaka mbali mbali huandaa hafla zakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.

    10:00
  8. Taarifa ya Habari 6 Februari 2024

    Waziri Mkuu amekosoa upinzani kwa kufeli kuwa na msimamo kwa pendekezo lake la awamu ya tatu ya makato ya kodi, wakati vikao vya bunge la shirikisho vina anza tena.

    21:08
  9. Wanaume wakaribishwa kuchangia chakula na kutafuta suluhu za changamoto zao

    Ni nadra kupata kundi linalo shughulikia maswala ambayo huwakabili wanaume nchini Australia.

    10:14
  10. Taarifa ya Habari 2 Februari 2024

    Australia itatuma wajumbe New Zealand kujadili uwezekano wa ushirika wakijeshi katika muungano wa AUKUS.

    18:54
  11. Idadi yawa Australia wanao kosa kuwaona ma GP yaongezeka kwa sababu ya gharama kubwa za miadi

    Wakati mfumo wa huduma ya afya kwa wote ya Australia Medicare ina sherehekea miaka 40, data mpya imeonesha kuwa wagonjwa wana endelea kuepuka kuwaona madaktari kwa sababu ya gharam…

    06:15
  12. Taarifa ya Habari 1 Februari 2024

    Waziri mkuu ametupilia mbali pendekezo kuwa viwango vya juu vya makato ya kodi kwa wenye mapato ya chini, vita rejesha nyuma kupungua kwa viwango vya riba, nakusababisha hali ngumu…

    06:42
  13. Jinsi yakuanza biashara yako ndogo Australia

    Kuanza biashara nchini Australia hutoa faida kadhaa.

    12:08
  14. Djay Daffy "ziara ya Australia imenipa fursa nyingi sana"

    Djay Daffy ni mmoja wa wasanii ambao wame teka nakutawala sekta ya burudani nchini Kenya.

    08:46
  15. Taarifa ya Habari 30 Januari 2024

    Wa Australia wame hakikishiwa hapatakuwa mageuzi yatakayo fanywa kwa faida ya kodi ya mwekezaji wa nyumba, hii ni baada ya mageuzi ambayo yalikuwa hayajatarajiwa kwa awamu ya tatu…

    19:03
  16. Je madini ya coltan yata ifaidi au kuigharimu Kenya

    Madini ya Coltan yamegunduliwa katika kaunti sita nchini Kenya, uchimbaji wa madini hayo unatarajiwa kuanza hivi karibuni.

    07:29
  17. Taarifa ya Habari 29 Januari 2024

    New Zealand haija wafuata washirika wake kuzuia uwekezaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalo shutumiwa na Israel kwa kuhusika na mauaji ya Hamas ya 7 Oktoba 2023.

    05:59
  18. Jinsi yakuwa mtetezi wa waAustralia wa Kwanza

    Kuwa mshirika wa wa Australia wa Kwanza, kuna maana ya mtu anaye simama kidete na anaunga mkono maswala yenye umuhimu kwa jumuiya zawa Australia wa Kwanza.

    08:05
  19. Taarifa ya Habari 26 Januari 2024

    Maelfu ya watu wame jumuika katika sherehe nchini kote zaku adhimisha siku kuu ya Australia. Makundi ya watu wengi yalijumuika katika fukwe ya Bondi mjini Sydney kwa ibada ya alfaj…

    18:21
  20. Halmashauri za jiji 81 zafuta sherehe za viapo vya uraia katika siku kuu ya Australia

    Takriban halmashauri za jiji 80 kote nchini Australia, zime amua kubadili tarehe ya sherehe za kila mwaka za viapo vya uraia kutoka Januari 26.

    08:01
Now Playing