SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,031 episodesLatest 1 day agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 38

  1. Mtoto wako ananyanyaswa shuleni au mtandaoni? Hatua muhimu unastahili chukua

    Kutoa mazingira salama na jumuishi ni dhamira ya msingi ya kila jumuiya ya shule ya Australia.

    13:55
  2. Kisimba "tuta furahi sana kuona Icon wetu hapa Sydney"

    Mfalme wa muziki wa DR Congo Koffi Olomide ame anza ziara ya tamasha Australia.

    10:15
  3. Taarifa ya Habari 13 Agosti 2024

    Viongozi wa Marekani na Uingereza wanaweza jiondoa katika makubaliano ya manowari yaliyofanywa na Australia chini ya mpangilio wa AUKUS, kwa kutoa onyo la mwaka mmoja tu kulingana…

    15:46
  4. Sababu nzuri zaku tii sheria za watembeaji wa miguu

    Kila siku, watu wanao tembea kwa miguu kote nchini Australia huvunja sheria bila kujua. Hali hii inaweza sababisha adhabu, na wakati mwingine inaweza sababisha ajali.

    13:49
  5. Taarifa ya Habari 9 Agosti 2024

    Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amesema chama chake kina endelea ku unga mkono makubaliano ya AUKUS, yaliyo tiwa saini chini ya serikali ya Morrison ila, ana hoji kwa nini serika…

    19:02
  6. Sekta ya vyuo yadai wanafunzi wakimataifa wanatumiwa kama "mpira" wakisiasa

    Vyuo na biashara vina fanya kampeni ya ushawishi dhidi ya sheria zenye utata, kuweka idadi ya wanafunzi wa kimataifa kuanzia mwaka ujao.

    09:08
  7. Taarifa ya Habari 8 Agosti 2024

    Wafanyakazi wa huduma ya malezi ya watoto kote nchini Australia, wana tarajiwa kuongezewa mishahara, iwapo sehemu zao za kazi zita kubali kuto ongeza ada kwa zaidi ya asilimia 4.4…

    05:47
  8. Amedee "tunatoa mafunzo na uelewa kwa yaliyo fanyika Rwanda 1994"

    Onesho la hadithi za wahanga wa mauaji ya 1994 nchini Rwanda, lime zinduliwa katika jumba la sanaa mjini Sydney, Australia.

    12:29
  9. Kuelewa mfumo wa sheria wa Australia: sheria, mahakama na msaada wakisheria

    Mfumo wa sheria wa Australia ni mfumo changamano ulio undwa kudumisha utaratibu, kuhakikisha nakulinda haki za raia wake.

    13:14
  10. Taarifa ya Habari 6 Agosti 2024

    Australia imeongeza kiwango cha tisho la ugaidi kitaifa kutoka uwezekano hadi kuwezekana. Serikali imesema kuongezeka kwa itikadi kali katika wigo wa kisiasa na kiitikadi uko nyuma…

    18:00
  11. Kiwango cha tisho la ugaidi cha ongezwa kutoka "uwezekano" hadi "kuwezekana"

    Kiwango cha tisho la ugaidi cha Australia kime ongezwa kwa mara ya kwanza katika muongo.

    07:23
  12. Taarifa ya Habari 2 Agosti 2024

    Waziri Mkuu amesema maoni ya watu wanao ishi na ulemavu yanasikizwa, kufuatia ukosoaji ulio ibuka kufuatia jibu la serikali kwa tume yakifalme kwa ulemavu.

    16:25
  13. Jeff "unaweza dhani ume mdhuru mtu mmoja tu, kumbe ume waathiri wengi zaidi"

    Hadithi halisi za wahanga wa mauaji ya 1994 nchini Rwanda, zime zinduliwa katika jumba la sanaa mjini.

    05:21
  14. H_art the Band kuhusu tamasha ya Australia

    Kundi la H_art the Band kutoka Kenya, lili kuwa mjini Sydney kwa tamasha yao ya miji 5 mikuu ya Australia.

    13:47
  15. Taarifa ya Habari 12 Julai 2024

    Polisi wadai baba ambaye amefunguliwa mashtaka ya mauaji ya watoto wake watatu, inadaiwa walifunga milango kuwazuia watu kuondoka ndani ya nyumba iliyo kuwa iki ungua katika kitong…

    15:44
  16. Sanaa inayo sherehekea uhusiano wa watu wa Mataifa ya Kwanza na bahari

    Ni wiki ya NAIDOC, wakati wakusherehekea historia, utamaduni na mafanikio ya watu wa Mataifa ya Kwanza.

    05:29
  17. Taarifa ya Habari 11 Julai 2024

    Jumuiya katika maeneo ya magharibi Melbourne, zime ambiwa kuepuka kiwanda cha kemikali ambako moto ulituma moshi wenye sumu angani mjini humo baada ya wazima moto kukabiliana na mo…

    06:22
  18. Konje "walicho tumia kutuomba kura ndicho wanatumia kufanya maisha yawe ngumu"

    Muswada wa fedha wa 2024 nchini Kenya, umevutia upinzani mkubwa kutoka wakenya wanao ishi Australia.

    08:17
  19. Umuhimu wa itifaki zawa Australia wa asili ni nini kwa kila mtu?

    Kuzingatia itifaki zakitamaduni zawa Aboriginal na wana visiwa wa Torres Strait wa Australia, ni hatua muhimu kwa kuelewa na kuwaheshimu wamiliki wa jadi wa ardhi tunako ishi.

    11:55
  20. Taarifa ya Habari 9 Julai 2024

    Wakaaji wa Alice Springs wame amka baada ya usiku wa kwanza wa amri ya kuto toka nje ambayo ili wekwa kwa ajili yakupunguza uhalifu.

    18:46
Now Playing