SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,031 episodesLatest 1 day agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 36

  1. Athari za Utalii wa Mataifa ya Kwanza

    Je, unatafuta uzoefu wakusafiri nchini Australia wenye maana?

    13:15
  2. Taarifa ya Habari 22 Oktoba 2024

    Mfalme Charles na Malkia Camilla waanza sehemu ya mwisho, ya ziara yao mjini Sydney, katika sehemu ya ziara yakifalme.

    19:57
  3. Steve "Na amini naweza kuwa kiongozi bora"

    Wanafunzi wa chuo cha ECU mjini Perth wana ingia debeni kuwachagua viongozi wao wapya.

    12:55
  4. Taarifa ya Habari 18 Oktoba 2024

    Serikali ya Shirikisho ya tetea takwimu zake za utoaji wa ajira milioni moja, wakati upinzani una sisitiza kuwa asilimia kubwa ya ajira hizo zime fadhiliwa na serikali ya shirikish…

    19:25
  5. Mhe Dkt Kogo "Kwa unyenyekevu hakuna haja yawa Kenya kupewa mitihani ya Kiingereza"

    Wanafunzi na wahamiaji wengi kutoka Afrika Mashariki haswa Kenya, wame kuwa waki kabiliwa kwa changamoto yaku thibitisha uwezo wao wakuzungumza Kiingereza nchini Australia kabla ya…

    12:54
  6. Taarifa ya Habari 15 Oktoba 2024

    Mawaziri wa afya wa Australia wame idhinisha mchakato wa haraka, kwa madaktari waliofunzwa ng'ambo kuanza kufanya kazi kote nchini.

    23:15
  7. Mercy"Tunatazamia kupokea huduma bora kutoka kwa balozi wetu"

    Viongozi wa shirika la Kenyans in Sydney Welfare Association kwa ushirikiano na mashirika mengine yawakenya wanao ishi mjini Sydney wali andaa kongamano la wanafunzi.

    08:13
  8. Taarifa ya Habari 11 Oktoba 2024

    Wa Australia wanaweza lipishwa zaidi watakapo enda tena kuweka petroli ndani ya gari zao ila, mweka hazina wa taifa ame wahamasisha wauzaji wa reja reja wasi wadhulumu wateja.

    18:06
  9. Prof Chacha "mtu ambaye amekuwa katika hali ya uchochore hawezi mkashifu anaye msaidia"

    Nchi kadhaa barani Afrika zina endelea kuongeza ushirikiano na China, ambayo kwa upande wayo ina toa zawadi mbali mbali kwa nchi hizo.

    07:45
  10. Taarifa ya Habari 8 Oktoba 2024

    Wa Australia wanao rejea nchini kutoka Lebanon katika ndege za kwanza zilizo kodishwa na serikali ya shirikisho wame wasili mjini Sydney.

    19:13
  11. Matt "wakenya hawataki Gachagua aondolewe mamlakani"

    Wikendi iliyopita wakenya wanao ishi Sydney, New South Wales walijumuika katika kitongoji cha Chester Hill kwa mkutano maalum.

    05:59
  12. Lydia "ukiwa Africultures nikama umetembea Afrika nzima"

    Maelfu ya wa Australia wenye asili ya Afrika, kwa mwaka mwingine wali jumuika katika viwanja vya Sydney Olympic Park kuhudhuria tamasha ya Africultures.

    09:04
  13. Taarifa ya Habari 4 Oktoba 2024

    Idara ya Afya ya New South Wales ina wahamasisha watu wanao stahiki wapate dozi zao mbili za chanjo za mpox sasa hivi, wasiwasi unapo endelea kuwa kuhusu ongezeko ya kesi na wanao…

    17:26
  14. Jinsi yakupata mkopo wa kununua nyumba Australia

    Kununua nyumba kawaida ni moja ya ununuzi mkubwa katika maisha ya mtu.

    12:19
  15. Taarifa ya habari 1 Oktoba 2024

    Waangalizi wa watumiaji wa Australia wanatarajiwa kupokea jeki ya dola milioni 30, kuchukua hatua kwa matendo ya kuongeza bei kutoka kwa maduka makubwa na wauzaji reja reja.

    19:43
  16. Francis "Openmaps Global Study imeziba pengo katika utoaji wa elimu ya juu Australia"

    Sekta ya elimu ya juu nchini Australia, ina thamani yama bilioni ya dola.

    09:43
  17. Taarifa ya Habari 20 Septemba 2024

    Mswada wa serikali ya shirikisho waku ongeza malipo ya uzeeni katika likizo ya wazazi yenye malipo ime idhinishwa na bunge.

    16:46
  18. Prof Chacha "kuendelea kuahirisha uchaguzi hakuta leta amani au mafanikio Sudan Kusini"

    Kwa mara nyingine uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini ume ahirishwa hadi Disemba 2026.

    07:56
  19. Francis "wakati wakubadilisha shule ni sasa"

    Idadi ya wanafunzi wakimataifa itapunguzwa mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.

    10:35
  20. Taarifa ya Habari 17 Septemba 2024

    Mwanaume anaye shukiwa kuhusika katika jaribio laku muuwa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, amefunguliwa mashtaka ya uhalifu wakutumia bunduki.

    18:49
Now Playing