SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,031 episodesLatest 1 day agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 33

  1. Taarifa ya Habari 17 Januari 2025

    Kupandishwa cheo kwa wanasiasa wanne wa kike ndani ya baraza la mawaziri wa waziri mkuu, kume fufua mjadala kuhusu uwakilishi wa wanawake ndani ya upinzani wa mseto.

    16:59
  2. Ongezeko ya karo ya shule yafanya familia zi hisi shinikizo

    Kuna salia wiki chache kwa mwaka wa shule wa 2025 kuanza, janga la gharama ya maisha lina endelea kuweka shinikizo kwa familia zinazo lipa karo ya shule.

    06:50
  3. Bensoul "kuwa mwandishi wa nyimbo iliyo shinda grammy imenifungulia milango mingi"

    Nyota ya Bensoul katika sanaa ina zidi kung'aa kila kukicha.

    18:42
  4. Taarifa ya Habari 14 Januari 2025

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amefanya mkutano wake wa kwanza wa 2025 na baraza lake la mawaziri.

    19:01
  5. Lissu "hatuwezi tegemea kipya kutoka kiongozi ambaye ameongoza kwa miaka 21"

    Mgombea wa wadhifa wa uongozi wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA nchini Tanzania, amefunguka kuhusu sababu zake zaku wania wadhifa huo.

    07:14
  6. Taarifa ya Habari 10 Januari 2025

    Uchaguzi mkuu ujao wa shirikisho una chukua mkondo wakuwa shindano la gharama ya maisha ila, hakuna chama kikubwa ambacho kime toa ahadi kubwa za matumizi kwa ajili yakuwavutia wap…

    18:02
  7. Wakenya wafunguka kuhusu visa vya utekaji nyara

    Vyombo vya usalama nchini Kenya vina endelea kushtumiwa kwa visa vya utekaji nyara.

    30:55
  8. Taarifa ya Habari 7 Januari 2025

    Wakaaji wa Queensland wame hamasishwa wachukue chanjo zinazo tolewa bure, jimbo hilo likitabiri msimu mubaya wa mafua uko njiani.

    17:13
  9. Mwongozo rahisi waku kusaidia kufurahia msimu wa Cricket nchini Australia

    Cricket ni mchezo maarufu sana Australia na, kwa muda mrefu mchezo huo umekuwa sehemu ya utamaduni wa Australia haswa wakati wa miezi ya majira ya joto.

    12:06
  10. Taarifa ya Habari 3 Januari 2025

    Kufanya mfumo wa afya upatikane kwa bei nafuu itakuwa sehemu kubwa ya kampeni ya uchaguzi mkuu ya chama cha Labor, waziri wa afya washirikisho aki ahidi kuimarisha Medicare miongon…

    18:34
  11. Je uchaguzi wa uongozi uta sababisha mpasuko ndani ya CHADEMA

    Wanachama wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA, wanasalia na takriban wiki mbili kuingia debeni kumchagua kiongozi mpya.

    08:02
  12. Taarifa ya Habari 31 Disemba 2024

    Kikundi cha magari cha N-R-M-A kina omba tume ya ushindani na watumiaji ya Australia, ifanye uchunguzi wa haraka kwa madhara mabaya ya mizunguko ya bei bei ya petroli katika miji m…

    20:31
  13. Levi "Wazazi wasi harakishe kuwatuma watoto ng'ambo kabla hawaja komaa"

    Wazazi wengi huwa na ndoto za kuwatuma watoto wao ng'ambo kufanya elimu ya juu.

    20:49
  14. Taarifa ya habari 27 Disemba 2024

    Mabadiliko mazuri ya hali ya hewa yame saidia juhudi za wazima moto wanao kabiliana na moto ambao haukuwa ukidhibitika katika maeneo ya Grampians jimboni Victoria, baada ya hali mb…

    16:40
  15. Jeshi la polisi la Kenya lakanusha kuhusika na utekaji wa wakosoaji wa serikali

    Jeshi la polisi Kenya limekanusha kuhusika na visa vya karibuni vya utekaji unaowalenga wakosoaji wa serikali. Watu 74 walitekwa tangu maandamano ya kuipinga serikali, huku 26 waki…

    08:33
  16. Understanding Indigenous knowledge of weather and seasons - Kuelewa maarifa ya hali ya hewa na misimu yawatu wa asili

    You’re probably familiar with the four seasons—Summer, Autumn, Winter, and Spring—but did you know that First Nations people have long recognised many more? Depending on the locati…

    10:16
  17. Taarifa ya Habari 26 Disemba 2024

    Mamlaka wa Urusi na Australia wachunguza ripoti kuwa, raia wa Australia amekamatwa akipigania Ukraine.

    06:59
  18. Taarifa ya Habari 24 Disemba 2024

    Waziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali tathmini ya upinzani kuwa amefeli kwa swala la uhamiaji, wakati ripoti za mihadarati kama heroin, methamphetamine na fentanyl kuingia…

    19:55
  19. Wangeci "nilikuwa mkali sana katika mawasiliano yetu ya kwanza"

    Je, unakumbuka ulipo mwona mpenzi wako mara ya kwanza? alikupokea ulivyo tarajia, au ilibidi uboreshe mstari yako kabla ujaribu tena?

    17:10
  20. Kuelewa maarifa ya wa Australia wa Kwanza kuhusu hali ya hewa na misimu

    Pengine unafahamu misimu minne- Majira ya joto, vuli, majira ya baridi na masika ila, unafahamu kuwa watu wa Mataifa ya Kwanza wame tambua misimu mingine mingi kwa muda mrefu?

    11:59
Now Playing