
Podcast

Mmoja kati ya wanawake watano na mmoja kati ya wanaume kumi na sita wamekumbwa na ukatili wa kingono wakiwa watu wazima huko Australia, kulingana na Ofisi ya Takwimu ya Australia y…

Viongozi wa dunia wamesifu mkutano wa kwanza wa G20 kufanyika Afrika kama ushindi kwa ushirikiano wa kimataifa, hata walipokuwa wakizungumzia changamoto za mabadiliko ya tabianchi,…

Jisajili au fuata makala yaliyo rekodiwa ya Australia ya fafanuliwa, kwa habari muhimu zaidi na vidokezo kuhusu kuanza maisha yako mapya nchini Australia. Una swali lolote au wazo…

Jiunge na Jason Nyakundi anapotujuza yanayoendelea Afrika.

Wajumbe wa mkutano wa COP30 nchini Brazili wamefikia makubaliano ya kushughulikia ongezeko la uzalishaji wa gesi duniani. Makubaliano hayo yanaongeza fedha kwa nchi zinazoathiriwa…

Wikendi iliyopita, jiji la Melbourne liliendelea kungara kwa rangi, muziki na Ladha za barani Afrika wakati wa tamasha la utamaduni wa afrika lililowajumuisha watu kutoka mataifa m…

Onyo la dharura limetolewa kwa wanafunzi wa kimataifa wanaoondoka Australia wasiuze akaunti zao za benki na vitambulisho kwa wahalifu. Polisi ya Shirikisho ya Australia inasema kwa…

Karibu mmoja kati ya Waustralia wanne hawatafuti msaada wanapopata matatizo ya afya ya akili wakati wa ujauzito au baada ya kujifungua. Wataalamu wanasema kwamba taarifa zilizotole…

Elekea kwenye tovuti yetu katika sbs.com.au/swahili kwa habari na taarifa zaidi.

Elekea kwenye tovuti yetu katika sbs.com.au/swahili kwa habari na taarifa zaidi.

Elekea kwenye tovuti yetu katika sbs.com.au/swahili kwa habari na taarifa zaidi.

Elekea kwenye tovuti yetu katika sbs.com.au/swahili kwa habari na taarifa zaidi.

Jason Nyakundi anatujuza yaliyojiri Afrika

Jason Nyakundi anatujuza yaliyojiri Afrika

Jason Nyakundi anatujuza yaliyojiri Afrika

Jason Nyakundi anatujuza yaliyojiri Afrika

Mmoja kati ya Waaustralia watano, au takriban watu wazima milioni tatu, wana kiwango cha chini cha ujuzi wa kusoma na kuandika au hesabu - na hii inaweza kuwa na athari kubwa katik…

Kadri maelfu ya vijana wanaposherehekea kumaliza Mwaka wa 12, wanakumbushwa juu ya hatari zinazokuja na unywaji pombe, hasa nje ya nchi. Wazazi na marafiki wa waathiriwa wa sumu ya…

Jason Nyakundi anatujuza yanayojiri Afrika.

Shirika lisilo la faida linasema karibu nusu ya jamii za Wenyeji wanaoishi mbali na ulimwengu wanakabiliwa na kutoweka ndani ya muongo kutokana na ukataji miti, uchimbaji wa madini…
