SBS Swahili - SBS Swahili cover art

Podcast

SBS Swahili - SBS Swahili

1,031 episodesLatest about 24 hours agoNew episode
Recorded in AustraliaAbout AustraliaSwahiliNewsDaily NewsSociety & Culture
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Episodes — page 15

  1. Mahojiano: Jay "vita dhidi ya Iran vinaweza kuwa na madhara makubwa sana kwa Australia"

    Madhara ya vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran, yame anza kushuhudiwa nchini Australia.

    10:54
  2. Taarifa ya Habari: Serikali ya shirikisho yaongeza hatua za usambazaji wa mafuta Australia

    Serikali ya Shirikisho imebadilisha hatua nyingine kwa ajili yakushughulikia athari za mgogoro wa usambazaji wa mafuta Australia.

    12:36
  3. Makala leo: Sheria mpya za Australia kupiga marufuku kwa muda baadhi ya watu kuingia nchini za kosolewa

    Serikali ya shirikisho ime wasilisha sheria mpya ya kuweka marufuku ya muda, kwa baadhi ya nchi kutumia viza fulani kuja Australia.

    14:01
  4. Taarifa ya Habari: Viongozi wa dunia wakubali kutoa idadi kubwa ya mapipa ya mafuta kutoka akiba ya dharura

    Mataifa tajiri zaidi duniani yamekubali kutoa idadi kubwa ya mapipa ya mafuta kutoka akiba ya dharura, kwa ajili ya kupunguza ongezeko kubwa la bei kutokana na vita vya Marekani na…

    06:19
  5. Australia Yafafanuliwa:Taarifa kuhusu sheria za forodha na usalama wa kibiolojia za Australia

    Forodha kwa ujumla ndio sehemu ya kwanza ya mawasiliano kwa watu wanaoingia Australia. Maafisa wa Kikosi cha Mpakani cha Australia wako tayari kwenye lango, wakilenga kuweka bidhaa…

    13:56
  6. Yaliyojiri Afrika: 45 wafariki katika mafuriko mjini Nairobi

    Nchini kenya idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko yaliosababishwa na mvua kubwa wiki iliopita, imeongezeka kutoka 23 na sasa idadi hiyo imefikia watu 45, kwa mujibu wa taarifa…

    07:44
  7. Taarifa ya Habari: Waziri Mkuu aeleza timu ya soka ya wanawake ya Iran, "msaada upo kama wana uhitaji"

    Waziri Mkuu wa Australia amesema serikali itamsaidia yeyote kati ya timu ya soka ya wanawake ya Iran ambaye bado hajaomba hifadhi hapa.

    08:12
  8. SBS Learn Eng Ep 69 Jinsi yakuzunguza kuhusu kunyolewa kwa Kiingereza

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani?

    16:49
  9. Makala leo: Wanawake kote duniani wame ingia mitaani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake

    Wanawake kote duniani walijitokeza mitaani kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wakitaka kukomeshwa kwa ukosefu wa usawa na ubaguzi.

    06:52
  10. Taarifa ya Habari: Vituo vya kuuza mafuta vyaonywa visiongeze bei kupita kiasi

    Mojtaba Khamenei ametangazwa kuwa kiongozi mkuu mpya wa Iran.

    06:18
  11. Taarifa ya Habari: Onyo za mafuriko zawekwa kote jimboni Queensland

    Onyo za mafuriko zimewekwa kote jimboni Queensland, wakati hali ya hewa ya kitropiki inatabiriwa kufika pwani mchana wa leo kati ya miji ya Cairns na Townsville.

    14:12
  12. Australia Yafafanuliwa: Jinsi makazi ya umma na ya kijamii yanavyo tumiwa nchini Australia

    Kupata mahali pa kuishi pazuri na pa bei nafuu kunazidi kuwa vigumu kwa watu wengi kote Australia.

    14:33
  13. SBS Learn Eng Ep104 Jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani

    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani?

    11:58
  14. Taarifa ya Habari: DFAT yatuma timu kuwasaidia Waaustralia waliokwama Mashariki ya Kati

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Australia Penny Wong amesema dunia ina wasiwasi kuhusu jinsi Iran inavyo jibu mashambulizi ya Marekani na Israel yaliyomuua kiongozi wake, Ayatollah Khame…

    05:56
  15. Jay "Marekani iki kuambia wanataka mfanye mazungumzo jua nyuma ya pazia wanapanga kitu fulani"

    Siku kadhaa baada ya Israel na Marekani kuanza mashambulizi yao dhidi ya Iran, wachambuzi wame anza kuelezea madhara ya vita hivyo katika kanda hiyo na duniani kote kwa ujumla.

    09:56
  16. Taarifa ya Habari: Australia haishiriki katika vita dhidi ya Iran, Waziri wa Ulinzi aeleza vyombo vya habari

    Waziri wa Ulinzi Richard Marles amethibitisha kwamba Australia haishiriki katika hatua za kijeshi zinazoendelea dhidi ya Iran.

    13:02
  17. Yaliyojiri Afrika: Muungano wa Afrika walaani vita dhidi ya iran, waomba vistishwe maramoja

    Viongozi kadhaa wa bara la Afrika wameungana na Muungano wa Afrika kulaani vita vinavyo endelezwa na Marekani na Israel dhidi ya Iran.

    08:51
  18. Makala leo: Wairani-Waaustralia waomba demokrasia baada ya mashambulizi ya Marekani na Israeli

    Wairani-Waaustralia wanaelezea hisia mseto kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel nchini Iran, pamoja na mauaji ya Kiongozi Mkuu Ayatollah Ali Khamenei.

    11:14
  19. Taarifa ya habari: Kiongozi mpya wa Iran kuteuliwa baada ya Ayatollah Ali Khamenei kuuawa

    Mchakato unaendelea kuamua ni nani atakaye iongoza Iran, baada ya kuuawa kwa kiongozi mkuu wa nchi hiyo, Ayatollah Ali Khamenei.

    05:02
  20. Yaliyo jiri Afrika: Tahadhari yatolewa kwa mlipuko wa virusi vinavyo sababisha UVIKO-19 Tanzania

    Wizara ya afya Tanzania imesema kuwa maambukizi ya wagonjwa wa mafua makali ya Influenza na Uviko-19 yameongezeka na kuwataka wananchi kuchukua hatua stahiki za kujikinga na maambu…

    08:05
Now Playing